Mambo 10 Niliyoyaona leo Dodoma Jiji Vs Simba S.C Club

Mambo 10 Niliyoyaona leo Dodoma Jiji Vs Simba S.C Club

Ugenini ni wapi
Simba leo wamekuwa wageni Dodoma..
Kwani kati ya Dodoma JiJi na Simba nani alikuwa na washabiki?

Yaani umati wote wakushangilie wewe kwa dakika 90...bado unajihesabu upo ugenini.

Halafu man of the match ni Joash Onyango..
 
Back
Top Bottom