Mambo 10 Niliyoyaona Leo Simba ikiitandika Prisons kwao

Chasambi anacheza mpira wa kisasa akipata anatoa siyo wale wanaolazimisha kukaa na mpira mwisho wanapoteza
 
Yanga na Simba bila kubebwa hamna kitu
 
unavyo ielezea simba kwa kuipamba utafikiri kuna timu mle,mpira kacheza wakawaida sana,kimbia kimbia,papatu papatu kila kona.
 
2nd half kocha huwa anataka kujihami, kuzuia, kukaba na wachezaji nao wanakuwa wamechoka sijui kwanini?
Unauliza huku Simba inacheza kila baada ya siku 2.Mechi 6 siku 18.Utopolo mechi 6 siku 20.Ratiba imepangwa kimkakati wachezaji wawe na fatigue na wapoteze mechi.Vita ni kubwa
 
Reactions: Tsh
Unauliza huku Simba inacheza kila baada ya siku 2.Mechi 6 siku 18.Utopolo mechi 6 siku 20.Ratiba imepangwa kimkakati wachezaji wawe na fatigue na wapoteze mechi.Vita ni kubwa
Vyura watajaa kwenye mfumo tu. Ni suala la muda.
 
Reactions: Tui
Kama inauma chomoa
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…