dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Nilishangaa kutokukuona kwenye huu uzi11) Refalii ndiyo man of the match natoa kongolee kwakwe.
Nafasi ya Miqson bora tungesajili namba sita ya maana pale kati
Baby Mary ndio wewe?
Utalipa wewe hela za kuvuja mkataba?1. AYOUB LAKRED
2.LUIS MIQUISSONE
3.AUBIN KRAMO.
4. SADIO KANUTE.
5.SAIDO NTIBAZONKIZA.
6.MOSES PHILI
WAJIANDAE KUONDOKA SIMBA.
Sawa,dawa ya mpira bahasha kwa Yanga na Simba ni kucheza limataifa kule hakuna mbeleko1. Simba imeshinda lakini bado Chemistry haijapatikana
2.Che Malone Fondoh ni ukuta wa Yericko kweli sio masihara
3.Kibu Dennis amebadilika sana, hakuna mchezaji wa kumweka benchi awe wa
kigeni au wa nje
4.Loius Micquisone amebaki jina tu
5.Yule Maroon Tchakei ni fundi hasa wa mpira
6.John Bocco anaikosesha sana Simba ushindi, Robertinho awe anamuingiza
kipindi cha 2 kama anampenda
7.Robertinho anapaswa kumuamini Shaaban Chilunda
8.Robertinho anapaswa kuamini kiungo Abdallah Hamis badala ya Kanoute
9.Simba isipobadilisha aina ya uchezaji, Al Ahly watatuadhibu tarehe 20 hapa hapa kwa Mkapa
10.Licha ya kufunga goli Mosses Phiri bado ni mzito na kiwango kimeshuka.
Dawa yake ni mechi za kimataifa11) Refalii ndiyo man of the match natoa kongolee kwakwe.
Inayeya ndiyo,ila karma itakurudia tuIla ndio inayeya hiyo mjue ohoooo,!!!mtakalia hivyo hivyo ahly naye atawekwa kwa mkapa kwa simba hii hii.
Kwenye kumuamini hamis abdalla na chilunda niko pamoja na wewe,ila labda anawasuka vyema wakae kwenye mfumo anaoutaka yeye,ngoja tuone his next move.
Miqson kuingia kwake kumeleta impakiti kubwa sana leo tofauti na hapo mechi ya leo simba ilikuwa ina dondosha poit.1. Simba imeshinda lakini bado Chemistry haijapatikana
2.Che Malone Fondoh ni ukuta wa Yericko kweli sio masihara
3.Kibu Dennis amebadilika sana, hakuna mchezaji wa kumweka benchi awe wa
kigeni au wa nje
4.Loius Micquisone amebaki jina tu
5.Yule Maroon Tchakei ni fundi hasa wa mpira
6.John Bocco anaikosesha sana Simba ushindi, Robertinho awe anamuingiza
kipindi cha 2 kama anampenda
7.Robertinho anapaswa kumuamini Shaaban Chilunda
8.Robertinho anapaswa kuamini kiungo Abdallah Hamis badala ya Kanoute
9.Simba isipobadilisha aina ya uchezaji, Al Ahly watatuadhibu tarehe 20 hapa hapa kwa Mkapa
10.Licha ya kufunga goli Mosses Phiri bado ni mzito na kiwango kimeshuka.
AiseeeMTAPIGA Kila kelele.
WAKUBWA TULIISHA WAAMBIA MJIANDAE KISAIKOLOJIA. TULIYOYASHAURI WAKATI NA KABLA YA USAJILI YALIPUUZWA.
Dirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiandae kisaikolojia
Hellow Wana JF. Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023. Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na Mfanyakazi wa...www.jamiiforums.com
Na badoJamaa kila wakitaka kufurahi wanakuta ushindiwao kwa kiasi kikubwa unachangiwa na marefa
Hahahahaaaa sasa chifu unamkumbusha askari saluti??Inayeya ndiyo,ila karma itakurudia tu
Huwezi danganya mile
Simba na Yanga wote ni wazee wa mbereko
Mechi za kimataifa ndo kipimo tosha
Tarehe Ishirini siyo mbali na makundi hayapo mbali
Inabidi wawe wanacheza bila refa.Au unawazaje utopolo wa Lucy Emel?Jamaa kila wakitaka kufurahi wanakuta ushindiwao kwa kiasi kikubwa unachangiwa na marefa[emoji3][emoji3]
Observation nzuri1. Simba imeshinda lakini bado Chemistry haijapatikana
2.Che Malone Fondoh ni ukuta wa Yericko kweli sio masihara
3.Kibu Dennis amebadilika sana, hakuna mchezaji wa kumweka benchi awe wa
kigeni au wa nje
4.Loius Micquisone amebaki jina tu
5.Yule Maroon Tchakei ni fundi hasa wa mpira
6.John Bocco anaikosesha sana Simba ushindi, Robertinho awe anamuingiza
kipindi cha 2 kama anampenda
7.Robertinho anapaswa kumuamini Shaaban Chilunda
8.Robertinho anapaswa kuamini kiungo Abdallah Hamis badala ya Kanoute
9.Simba isipobadilisha aina ya uchezaji, Al Ahly watatuadhibu tarehe 20 hapa hapa kwa Mkapa
10.Licha ya kufunga goli Mosses Phiri bado ni mzito na kiwango kimeshuka.
Soko la kumuuza boko linapatikana wapi?11...naongezea Boko auzwe au atolewe kabisa Simba
Hawa wachezaji wakongwe labda wanaonewa aibu kung'atuliwa pamoja na hofu ya nini kitatokea baada ya kuondolewa, Kama ilivyokuwa kwa mkude11...naongezea Boko auzwe au atolewe kabisa Simba
ndio mwananchi, hujakosea. Singida wamepoteza game kimasiharaBaby Mary ndio wewe?
11. Amefungwa Singida wanaumia Utopolo1. Simba imeshinda lakini bado Chemistry haijapatikana
2.Che Malone Fondoh ni ukuta wa Yericko kweli sio masihara
3.Kibu Dennis amebadilika sana, hakuna mchezaji wa kumweka benchi awe wa
kigeni au wa nje
4.Loius Micquisone amebaki jina tu
5.Yule Maroon Tchakei ni fundi hasa wa mpira
6.John Bocco anaikosesha sana Simba ushindi, Robertinho awe anamuingiza
kipindi cha 2 kama anampenda
7.Robertinho anapaswa kumuamini Shaaban Chilunda
8.Robertinho anapaswa kuamini kiungo Abdallah Hamis badala ya Kanoute
9.Simba isipobadilisha aina ya uchezaji, Al Ahly watatuadhibu tarehe 20 hapa hapa kwa Mkapa
10.Licha ya kufunga goli Mosses Phiri bado ni mzito na kiwango kimeshuka.
Well doneUmeongea vema kama shabiki.
Vinginevyo kocha ndiye anayejua ni nani anayefaa kucheza wakati gani kulingana na aina ya mazoezi yaliyofanyika.
Uzuri ni kwamba kila shabiki anadhani anaweza kufundisha mpira, lakini ukweli hauko hivyo.
Jinyonge11) Refalii ndiyo man of the match natoa kongolee kwakwe.