Mambo 10 niliyoyaona Leo Singida Vs Simba

1. Simba imeshinda lakini bado Chemistry haijapatikana
2.Che Malone Fondoh ni ukuta wa Yericko kweli sio masihara
3.Kibu Dennis amebadilika sana, hakuna mchezaji wa kumweka benchi awe wa
kigeni au wa nje
4.Loius Micquisone amebaki jina tu
5.Yule Maroon Tchakei ni fundi hasa wa mpira
6.John Bocco anaikosesha sana Simba ushindi, Robertinho awe anamuingiza
kipindi cha 2 kama anampenda
7.Robertinho anapaswa kumuamini Shaaban Chilunda
8.Robertinho anapaswa kuamini kiungo Abdallah Hamis badala ya Kanoute
9.Simba isipobadilisha aina ya uchezaji, Al Ahly watatuadhibu tarehe 20 hapa hapa kwa Mkapa
10.Licha ya kufunga goli Mosses Phiri bado ni mzito na kiwango kimeshuka.
Sawa,dawa ya mpira bahasha kwa Yanga na Simba ni kucheza limataifa kule hakuna mbeleko
 
Ila ndio inayeya hiyo mjue ohoooo,!!!mtakalia hivyo hivyo ahly naye atawekwa kwa mkapa kwa simba hii hii.

Kwenye kumuamini hamis abdalla na chilunda niko pamoja na wewe,ila labda anawasuka vyema wakae kwenye mfumo anaoutaka yeye,ngoja tuone his next move.
 
Inayeya ndiyo,ila karma itakurudia tu

Huwezi danganya mile

Simba na Yanga wote ni wazee wa mbereko

Mechi za kimataifa ndo kipimo tosha

Tarehe Ishirini siyo mbali na makundi hayapo mbali
 
1. Simba imeshinda lakini bado Chemistry haijapatikana
2.Che Malone Fondoh ni ukuta wa Yericko kweli sio masihara
3.Kibu Dennis amebadilika sana, hakuna mchezaji wa kumweka benchi awe wa
kigeni au wa nje
4.Loius Micquisone amebaki jina tu
5.Yule Maroon Tchakei ni fundi hasa wa mpira
6.John Bocco anaikosesha sana Simba ushindi, Robertinho awe anamuingiza
kipindi cha 2 kama anampenda
7.Robertinho anapaswa kumuamini Shaaban Chilunda
8.Robertinho anapaswa kuamini kiungo Abdallah Hamis badala ya Kanoute
9.Simba isipobadilisha aina ya uchezaji, Al Ahly watatuadhibu tarehe 20 hapa hapa kwa Mkapa
10.Licha ya kufunga goli Mosses Phiri bado ni mzito na kiwango kimeshuka.
Miqson kuingia kwake kumeleta impakiti kubwa sana leo tofauti na hapo mechi ya leo simba ilikuwa ina dondosha poit.
 
MTAPIGA Kila kelele.
WAKUBWA TULIISHA WAAMBIA MJIANDAE KISAIKOLOJIA. TULIYOYASHAURI WAKATI NA KABLA YA USAJILI YALIPUUZWA.

Aiseee
 
Rotation ya wachezaji Simba SC ni kama anasa ni kitu adimu sana sana. Awamu Al Ahly anatupiga nyingi sana kwa Mkapa. Hata turoge vipi tutapigwa nyingi sana kama sio Hamsa sijui
 
Jamaa kila wakitaka kufurahi wanakuta ushindiwao kwa kiasi kikubwa unachangiwa na marefa
emoji3.png
emoji3.png
Na bado
Inayeya ndiyo,ila karma itakurudia tu

Huwezi danganya mile

Simba na Yanga wote ni wazee wa mbereko

Mechi za kimataifa ndo kipimo tosha

Tarehe Ishirini siyo mbali na makundi hayapo mbali
Hahahahaaaa sasa chifu unamkumbusha askari saluti??
Hivi kati ya Simba na yanga nani ni bingwa wa michezo ya kimataifa?
Nikuhakikishie tu Simba itafanya vizuri hofu kwenyu ambao tayari viongoz wenu wamesharusha taulo.
 
1. Simba imeshinda lakini bado Chemistry haijapatikana
2.Che Malone Fondoh ni ukuta wa Yericko kweli sio masihara
3.Kibu Dennis amebadilika sana, hakuna mchezaji wa kumweka benchi awe wa
kigeni au wa nje
4.Loius Micquisone amebaki jina tu
5.Yule Maroon Tchakei ni fundi hasa wa mpira
6.John Bocco anaikosesha sana Simba ushindi, Robertinho awe anamuingiza
kipindi cha 2 kama anampenda
7.Robertinho anapaswa kumuamini Shaaban Chilunda
8.Robertinho anapaswa kuamini kiungo Abdallah Hamis badala ya Kanoute
9.Simba isipobadilisha aina ya uchezaji, Al Ahly watatuadhibu tarehe 20 hapa hapa kwa Mkapa
10.Licha ya kufunga goli Mosses Phiri bado ni mzito na kiwango kimeshuka.
Observation nzuri
 
11. Amefungwa Singida wanaumia Utopolo
 
Umeongea vema kama shabiki.

Vinginevyo kocha ndiye anayejua ni nani anayefaa kucheza wakati gani kulingana na aina ya mazoezi yaliyofanyika.

Uzuri ni kwamba kila shabiki anadhani anaweza kufundisha mpira, lakini ukweli hauko hivyo.
Well done
 
Back
Top Bottom