Mambo 10 niliyoyaona Simba vs Tabora

Mambo 10 niliyoyaona Simba vs Tabora

1.Awesu Awesu fundi wa mpira
2.Awesu Awesu Fundi wa mpira
3.Awesu Awesu Fundi wa mpira
4.Awesu Awesu fundi wa mpira
5.Jeans Charles Ahoua anamfanya Mukwala aonekane nyoka wa kibisa, nafasi yake asimame Awesu Awesu
6.Okajeph au Kagoma ndio mbadala wa Mzamiru, Mzamiru anachelewesha sana mipira
7.Abdulrazak Hamza mzawa halisi wa kibongo
8.Timu bado inacheza kwa slow iongeze spidi
9.Mukwala anaonekana mchovu kwa sababu ya Ahoua
10.Kiungo wa chini awe Okajepha, wa juu Debora kumi Awesu Awesu fundi wa boli, nna hakika ipo siku mtu anakula 8
Awesu Awesu huyu huyu aliyekuwa flop of the season Azam ndiyo anayepigiwa mapambio humu🤣🤣
 
Uwezo wa kuangalia mpira Tz kiufundi bado upo chini sana....mechi moja tu lakini anavyoimbwa ktk MEDIA...
Nilengaliq mpira sikuuona cha ajabu kwake....hii ni pressure tu
 
Awesu ndio anamalizia mpira wake ,

Mngemuona kipindi yupo Arusha anacheza ndondo 2010 mngesemaje?

Nashangaa Leo et ana miaka 28

Ina maana kipind kile anakichafua Sheikh Amri Abeid pale Arusha alikuwa ana miaka 14?
kinda hahaha
 
Back
Top Bottom