Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Richard Mabala

True,ko Mabala na kuwa mzungu imekaaje hii
Aliingia Tz mwaka 1975 skies mwalimu Milambo sekondari nilihadithiwa histoia na mwalimu wa zamani aliyefundisha naye miaka hiyo. Ni mwingereza kwa asili. Alibadilisha uraia akawa mtanzania wa kujiandikisha .. baadaye amekuwa mwalimu wa literature UDSM miaka ya themanini. Ameoa mwanamke Msukuma na ni mapenzi wa sera za kijamaa anchukia sana ubepari ndiyo maana akaukana uraia wa uingereza. Sasa hivi anaishi Nairobi anaendesha NGO yake. Ni maandishi wa makala wa magazeti mengi ,Rais mwema alikuwa akiandika Aya za binti Hidaya na Mwananchi anatumia makala kwa jina la makengeza. Pia amesndika Mabala the Farmer
 
Unajua mambo mengi kumuhusu ila changamoto typing errors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…