Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Sikuwa nalifahamu hili hadi nilipomuona leoAnaandikia sana magazrti esp mwanachi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuwa nalifahamu hili hadi nilipomuona leoAnaandikia sana magazrti esp mwanachi
True,ko Mabala na kuwa mzungu imekaaje hiiUmechelewa Sana kumfahamu
Aliingia Tz mwaka 1975 skies mwalimu Milambo sekondari nilihadithiwa histoia na mwalimu wa zamani aliyefundisha naye miaka hiyo. Ni mwingereza kwa asili. Alibadilisha uraia akawa mtanzania wa kujiandikisha .. baadaye amekuwa mwalimu wa literature UDSM miaka ya themanini. Ameoa mwanamke Msukuma na ni mapenzi wa sera za kijamaa anchukia sana ubepari ndiyo maana akaukana uraia wa uingereza. Sasa hivi anaishi Nairobi anaendesha NGO yake. Ni maandishi wa makala wa magazeti mengi ,Rais mwema alikuwa akiandika Aya za binti Hidaya na Mwananchi anatumia makala kwa jina la makengeza. Pia amesndika Mabala the FarmerTrue,ko Mabala na kuwa mzungu imekaaje hii
Unajua mambo mengi kumuhusu ila changamoto typing errorsAliingia Tz mwaka 1975 skies mwalimu Milambo sekondari nilihadithiwa histoia na mwalimu wa zamani aliyefundisha naye miaka hiyo. Ni mwingereza kwa asili. Alibadilisha uraia akawa mtanzania wa kujiandikisha .. baadaye amekuwa mwalimu wa literature UDSM miaka ya themanini. Ameoa mwanamke Msukuma na ni mapenzi wa sera za kijamaa anchukia sana ubepari ndiyo maana akaukana uraia wa uingereza. Sasa hivi anaishi Nairobi anaendesha NGO yake. Ni maandishi wa makala wa magazeti mengi ,Rais mwema alikuwa akiandika Aya za binti Hidaya na Mwananchi anatumia makala kwa jina la makengeza. Pia amesndika Mabala the Farmer