fakhbros
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 384
- 658
1.Wasichana wanapenda kuongea maneno machafu kama wavulana.
Wanawake huvutiwa moja kwa moja na wale wanaojaribu kuanza mazungumzo nao ana kwa ana,
2. Neno "I Love You" lina athari zaidi ya kihisia kwenye ubongo linaponong'onwa kwenye sikio la kushoto.
Wanawake huwa wanavutiwa na mwanamume mara mbili ya kuvutia wanapogundua kuwa wanawake wengine wanavutiwa naye.
3.Baadhi ya watu wanaovutiwa nawe daima watajaribu kukuepuka au kukupuuza kila wanapo kuona,
Wanawake wanavutiwa zaidi na wanaume wanaozingatia mambo, mtu anayekumbuka maelezo juu yao hata kama ni ya uongo'
4.Upo uwezekano mkubwa kuvutiwa na mtu ambaye hutakuwa na nafasi naye katika mahusiano,
Wanandoa ambao wanafanana sana au wanatofautiana sana huwa hawadumu kwa muda mrefu katika ndoa,
5.Miwani ya jua huongeza mvuto kwa wanaokupenda , na kukufanya uvutie zaidi katika mahusiano,
Unapomtazama mtu unayempenda, utambuzi wako hupanuka mara dufu zaidi,
6. Kadiri unavyomvutia mtu, ndivyo inavyokuwa vigumu kumdanganya kuhusu wewe,
Wanawake waliozaliwa na baba wazee kiumri wana uwezekano mkubwa wa kupata wanaume wazee wanaovutia katika ndoa,
7. Ikiwa unavutia, watu wa jinsia yako watakuhukumu kwa uovu juu ya muonekano wako,
Mitetemo ya sauti ya mwanamke huongezeka kwa kawaida pindi anapokuwa anafanya mapenzi,
8. Wanawake wengi huvutiwa na wavulana wenye muonekano mbaya kwa sababu sifa zao zinafanana na zile zinazohitajika ili kuendelea kuishi:
Wanaume wenye sauti nzito na sura katiri wana nafasi kubwa kuwa katika mahusiano na wanawake warembo kuliko wavulana wanao onekana kuwa na sura za mama zao,
9. Wanawake hufurahia zaidi kusifiwa na wapenzi wao hata kama ni jambo dogo
Mwanaume anae mpa pongezi mpenzi wake ana nafasi yakuishi na huyo mwanamke kwa miaka mingi kuliko mwanaume asiejari vitu vidogo,
10. Wanawake huonekana kupenda pesa lakini kiuharisia wanawake huihitaji matunzo zaidi ya pesa katika maisha yao,
Mwanaume anae mtunza mpenzi wake kwa ukaribu ana uhakika wakumvutia huyo mwanamke kuliko mwanaume anae mpa pesa,
Pia soma:Mapenzi asilia Yana nguvu zaidi ya mapenzi ya kisasa