Mambo 10 ya kufanya kabla hujafika umri wa miaka 28

Mambo 10 ya kufanya kabla hujafika umri wa miaka 28

Hiyo namba 1 kipengele mkuu hiyo pesa ya kuweka akiba unaipatia wapi ...

namba 2 ndo balaa kabisa pesa ya matumizi binafsi inakushinda vipi uweze kumake malengo na mtoto mzuri ?

Namba 3..Suala la ajira sio nyimbo tena imekuwa ni kama sala kila kona ya dunia raia wanalia hamna ajira..kama mazingira ya kuishi home yanaeleweka bora ukae home kukimbizana na kodi,bills za umeme ,maji,usafi na ulinzi lazima ujiweze kiuchumi

Kufanya hayo mambo ni vizuri ila hayana umuhimu kama ulivyoyapa huo umuhimu..maisha ni vile unaishi sio kusikiliza watu wanasemaje au wanatakaje



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom