Mambo 10 ya kujifunza kuhusu fedha na utajiri kutoka kwenye orodha ya mabilionea ya mwaka 2018

ni ngumu kwa tajiri kuuona ufalme wa mbinguni kulko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.napita
 
Kwahio ndugu mwandishi bongo tunaye bilionea mmoja tu?
Kwa mujibu wa jarida la Forbes tunaye mmoja.
Inawezekana wakawepo wengine, lakini kama utajiri wao siyo rahisi kufuatulia, basi forbes hawaorodheshi
Forbes wanaorodhesha utajiri wanaoweza kuufuatilia kwa usahihi.
 
Nitakuwa bilionea kabla sijawa rais,
Na urais siuchukulii kama sehemu ya kutengeneza kipato, bali sehemu ya kutoa kile kilichopo ndani yangu kwa ajili ya taifa langu, kwa ngazi kubwa.

sawa mkuu.nami nilikuelewa, kila la heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…