Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa jarida la Forbes tunaye mmoja.Kwahio ndugu mwandishi bongo tunaye bilionea mmoja tu?
Nitakuwa bilionea kabla sijawa rais,
Na urais siuchukulii kama sehemu ya kutengeneza kipato, bali sehemu ya kutoa kile kilichopo ndani yangu kwa ajili ya taifa langu, kwa ngazi kubwa.