Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
1. Huna baya kwa kuichangia CCM kWa sababu hakuna anayejua wapi unapata mahela ya kuwapa furaha wanayanga
2. Zingatia sana maneno ya Manara kuwa Yanga ambayo wewe ni Rais wake wenye akili ni wawili tu
3. Tenda wema uende zako , wasiokuwa na akili hawana wema hata kidogo kama alivyosema Manara
4. Umeijengea heshima kubwa Yanga hapa Afrika leo wanakutukana matusi ya nguoni, waachie timu yao
5. Leo hii sisi Simba sio wafalme tena wa soka hapa nchini, hakuna mwingine aliyeua ufalme wa Simba zaidi yako, waachie timu yao ili tuwapige 10
6. Umesajili wachezaji wenye gharama duniani na hakuna anayejua hela unapata wapi lkn wanakutukana leo, waachie timu yao
7. Wewe huwezi kupingana na mamlaka, Kama wamekuomba mchango na umewapa shida iko wap, mambo mengine ni ya kiuongozi, Kama wanakutukana waachie timu yao wajinga wajinga hao
8 Rais Mstaafu ndio alimuomba GSM aiokoe Yanga, hatujawasahau akina Kindoki, Yipke, Molinga leo mna wachezaji wenye quality ya kutosha, leo wanakutukana, waachie timu yao
9. Yanga imepata heshima kwa kuwa na kiongozi huko CAF sio mwingine ni wewe, leo wanakutukana, waachie hiyo timu tuone
10. Usiogope usiogope, sisi makada wenzako wa chama cha mapinduzi tunakuunga mkono kwa kuchangia chama chetu, kama kuna bwege kakasirika akaliwe kiboga huko.