Mambo 10 yakujua kabla ya kuingia kwenye huu mfumo wa biashara unaolipa kuliko mifumo yote

Ukiongea kwakutumia uoga wako hutakaa ufanikiwe,
"sometime your only available transportation to success is leap of faith"

Ndugu yangu sijakuelewa naomba unieleweshe tafaadh'ali
 
Tuwekee hicho kitabu chako humu basi ili tuzisome hizo fursa.

Huku naruhusiwa kuweka hizo hints tu kwani lengo la post yangu nikuwapa watu uelewa wa nini ambacho kinaendelea nchini kwasasa ila sasa ikiwa mtu anahitaji fursa ndo anatumia contact zilizoko chini ya post yangu alafu tunamfanyia interview then tunampa training,
Kwa hiyo mdau tuwasiliane
 
Biashara ya vipi,isiyojulikana bidhaa zake.
Ndugu,lengo la post yangu ni kuonyesha changamoto za biashara ya mtandao na kutoa suluhisho la jumla,ila sasa ukiwa unataka suluhisho binafsi ndo nimeweka namba na email address kwa ajili ya kuwasiliana kama walivyofanya waliokuwa wana uhitaji na kujua na kujiunga na hiyo fursa.
"Nawe utaijua kweli,nayo itakuweka huru",Karibu sana
 
ukiongea kwakutumia uoga wako hutakaa ufanikiwe,
"sometime your only available transportation to success is leap of faith"
ila uwoga ni aina fulani ya akili.
N.b.
Sijaongea kwa uwoga nimeongea kwa tahadhari
kama kweli mfumo huo wa biashara ungekuwa unalipa usingeutangaza huku.
Kwa mfano.umeshawahi kusikia tangazo la kanisa katoliki redioni,lakini makanisa mengine je?
 
Ha ha ha,umenichekesha kweli mdau yaani unachotaka kuniambia ni kuwa biashara zinazolipa hazitangazwi!are you serious?ina maana mfano unaposikia matangazo ya makampuni ya simu za mkononi unahisi makampuni ya simu hayalipi alafu ulichoni chekesha zaidi ni kuunganisha dini kama biashara,Mungu akusamehe bure!na pia elewa nilicho kiongea nimekiongea kwa makusudi ya kutoa changamoto ili kila mtu azijue,
Alafu kuhusu uoga,huo wako ni uoga wa kimasikini,uoga wa kitajiri ni wakukaa mezani na kuhesabu je utacho pata nikikubwa kuliko utachopoteza alafu akiona ni sawa anaita reasonable risk to bear,so stop worry about bear the risk but find the reasonable risk to bear
" YOUR NEVER TOO OLD TO SET ANOTHER GOAL OR TO DREAM NEW DREAM"

Mbona hupokei cm????[emoji15]
 
Back
Top Bottom