Ukiongea kwakutumia uoga wako hutakaa ufanikiwe,
"sometime your only available transportation to success is leap of faith"
Tuwekee hicho kitabu chako humu basi ili tuzisome hizo fursa.
Ndugu,lengo la post yangu ni kuonyesha changamoto za biashara ya mtandao na kutoa suluhisho la jumla,ila sasa ukiwa unataka suluhisho binafsi ndo nimeweka namba na email address kwa ajili ya kuwasiliana kama walivyofanya waliokuwa wana uhitaji na kujua na kujiunga na hiyo fursa.Biashara ya vipi,isiyojulikana bidhaa zake.
ila uwoga ni aina fulani ya akili.ukiongea kwakutumia uoga wako hutakaa ufanikiwe,
"sometime your only available transportation to success is leap of faith"
ila uwoga ni aina fulani ya akili.
N.b.
Sijaongea kwa uwoga nimeongea kwa tahadhari
kama kweli mfumo huo wa biashara ungekuwa unalipa usingeutangaza huku.
Kwa mfano.umeshawahi kusikia tangazo la kanisa katoliki redioni,lakini makanisa mengine je?
Dear Big;Kweli mdau
Ila naamini sana kwenye suluhisho nililopata
Sorry: hii ilikuwa inamhusu Dream Big sio Dear BigDear Big;
Je unazo taarifa zozote za MLM zinazohusiana na One Coin ambayo ni crypto currency investment?
Mbona hupokei cm????[emoji15]Ha ha ha,umenichekesha kweli mdau yaani unachotaka kuniambia ni kuwa biashara zinazolipa hazitangazwi!are you serious?ina maana mfano unaposikia matangazo ya makampuni ya simu za mkononi unahisi makampuni ya simu hayalipi alafu ulichoni chekesha zaidi ni kuunganisha dini kama biashara,Mungu akusamehe bure!na pia elewa nilicho kiongea nimekiongea kwa makusudi ya kutoa changamoto ili kila mtu azijue,
Alafu kuhusu uoga,huo wako ni uoga wa kimasikini,uoga wa kitajiri ni wakukaa mezani na kuhesabu je utacho pata nikikubwa kuliko utachopoteza alafu akiona ni sawa anaita reasonable risk to bear,so stop worry about bear the risk but find the reasonable risk to bear
" YOUR NEVER TOO OLD TO SET ANOTHER GOAL OR TO DREAM NEW DREAM"