Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

concept ya kuangalia mwanzo wa kila kitu ni hatari sana, uwe muumini au usiwe muumini. maana kwenye kila maelezo lazima utatumia starting point fulani ndo hapo mwingine atataka hiyo starting point chanzo chake ni nini. mtakesha
 
Hivyoo vyoye ulifanya budiii au huyoo mungu alikuleteaa ukiwa umelala
 
Binadamu yupo tu wala hakuna chanzo chake kwa sababu sio lazima kila kitu kiwe na chanzo ila kila kitu kipo kwenye cycle tu. Haya nimekusaidia jibu.
Thibitisha kuwa binadam yupo tu wala hakuna chanzo chake
Mana mi naona tunazaliwa.

Nithibitshie kuwa sio kila kitu kiwe na chanzo.

Nithibitishie hi cycle.
 
Aaahaaa! Yaani wewe ndiyo umetaka tuone kwamba mungu yupo, Na bado ukashindwa kutumia hicho kigugo twansileta kutuletea tafsiri. Oook....
 
OK. Let me clearly answer you: God is not subject to the law of cause and effect because He is eternal, existing outside of time and space, unlike everything in creation. The world, on the other hand, had a beginning, as everything created has a cause, and God's act of creation is the uncaused cause. God's existence is justified by the fact that He is the necessary being that explains the existence of everything else, and is not bound by the same rules that apply to created things. Umenipata?
 
YAANI TU EINSTEIN EQUATION TAYARI IME-PROVE KUWA MUNGU YUPO?,HIVI UMEANDIKA NINI MKUU?
Soma vizuri hizo points. Umeanzia kwenye equation? By the way, hatushindani na mtu. Mimi nimeeleza tu ninayoyajua na kuyaamini.
 
maneno ya wakoloni haya "if you can't explain it simply you don't understand it well enough"
What if nikisema anawatumia watoto WA middle east kama ukumbusho wa watu kumrudia yeye?!

Nasema sababu he has authority over our lives!

Ntakuwa sijakujibu,?!
 
Wewe ndio unajifariji, kilaza mwenzangu maan toko na limitations kiakili.
Jiheshimu tena sana, nimeajiri vijana zaidi ya 50 unaniitaje kilaza? Naona nikuweke ignore list na wewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…