Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
1. Hivi kocha wetu kweli haoni tofauti kati ya Jean Charles Ahoua na Awesu Awesu? Hata asiyejua mpira anaweza kuwatofautisha wachezaji hao
2. Hivi kocha unawezaje kumtoa Kibbu ambaye ametolewa akiwa bado Ana energy ya kutosha na madefender wa Azam bado walikuwa wanamhofia?
3. Shomari Kapombe has improved a lot, kocha awe anampumzisha kwa sababu ana kazi maalum
4. Upande wa Kipa Camara na Tshabalala Manula na Valentione Nouma watafute kazi ya kufanya
5. Simba inaelemewa sana kwa namna wanavyocheza, walielemewa na al Ahly na leo tena wameelemewa, mfumo wa kocha sio mzuri
6 Joshua Mutale hakuna cha SGR wala nn
7.Leonel Ateba ananikumbusha enzi za mliberia William Fanbullah, mtu wa maana kabisa
8. Fabrice Ngoma amecheza vizuri lakini navutiwa sana na Augustine Okajepha
9. Awesu Awesu hastahili kukaa benchi Simba, Chasambi hastahili kukaa benchi Simba
10 Bao alilofunga Ngoma ni mapenzi tu ya mshika kibendera ama mwamuzi msaidizi na wala sio makosa ya kibinadamu.
11 Kiujumla Azam wamecheza vizuri sana kuliko Simba, Fahdu aliangalie hilo, upangaji wake wa timu sio mzuri.
12. Kwa mpira huu tutazifunga timu nyingine lakini sio kwa wale wajinga wajinga wa Jangwani, wale tunahitaji kujipanga zaidi kwani Mh.
Soma Pia: FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024