Mambo 12 Niliyoyaona leo Azam vs Simba Uwanja wa Aman

Wakati mpira unapigwa kichwa, Ngoma alikuwa kwenye offside position na jana Azam walilichambua hilo goli kuwa halikuwa halali kwa mujibu wa sheria za soka
 
Ule mpira uliingia ndani baada ya kibu kupiga kichwa kipa wa AZAM aliokelea mpira ndani nenda kaangalie tena ila ngoma ilikuwa clear offside.
Sio Kibu bali ni Ngoma ndiye aliyefunga. Sijui hata unaongelea kipi mara unasema Ngoma ni clear offside. Kwani Kibu jana kuna alifunga? Goli kafunga Ateba na Ngoma asa sijui umejichanganya vipi
 
Sio Kibu bali ni Ngoma ndiye aliyefunga. Sijui hata unaongelea kipi mara unasema Ngoma ni clear offside. Kwani Kibu jana kuna alifunga? Goli kafunga Ateba na Ngoma asa sijui umejichanganya vipi
Tatizo hujasoma nilichoandika mpira kabla ya ngoma kufunga ulipigwa kichwa ndio ukamkuta ngoma akamalizia au umeangalia highlights hujaangalia live.
 
Tatizo hujasoma nilichoandika mpira kabla ya ngoma kufunga ulipigwa kichwa ndio ukamkuta ngoma akamalizia au umeangalia highlights hujaangalia live.
Kama Ngma ndiye aliyefunga na umekiri kuwa Ngoma alikuwa yupo kwenye offside position ina maana goli ni la offside ndio hicho
 
Tumeshamwaga mafuta ya taa ndani ya shimo, nyoka lazima mjitokeze tu
 
Huyu.kocha akae na wachezaji wake na kuwaeleza Nini maana ya kucheza kitimu
Ana wachezaji wengi lakini anachezesha walewale wakati.anajua.mechi.xinafatana. Kibu .Hamza .Deborah.eote.walionyesha uchovu
 
Mechi wacheze Azam lakini wachambuzi wa matokeo ni Utopolo
 
Huyu pascal msindo, simba umchukue next season. Dogo ana kitu
 
Analysis nzuri kabisaa kutoka kwako mzee wa msimbazi!ila je wenzio watakuelewa au watakutukana humu??maana kuna mashabiki wenzio hawajui kupinga kwa hoja zaidi ya vioja!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…