Mambo 12 niliyoyaona leo Simba Vs Coastal Union

We nae unataka tushinde tu kila siku sisi, tuna mtoa Ahoua ukacheze ww shwaini kabsa
 
Hakuna kocha wa hovyo kuwahi kuletwa Simba kama huyu fadul. Ni swala la muda tu. Joshua mtale na charlz A. Game iliwakataa Toka dakika ya kwanza lkn kocha hakufanya sub kwa wakati. Sasa kama kocha hawezi kuona mapungufu ya mchezaji basi huyo uwezo wake ni mdogo.

Mimi mara mia acheze balua kuliko kibabu joshua
 
Meno ya mbwa hayaumani, Mzee Magoma wazee wezie wamemuomba Kurujuani anielekeze Mbumbu fc.
 
Kwani nyie makocha wehu wezetu munawatoa wapi!!?
 
Fadlu hana mbinu mbadala na mara nyingi sub zake ni kama anabahatisha..Ahoua na Mutale walikua nje ya mchezo mapema tu lakini akaendelea kuwaaacha..Huyu Mutale sijui anampa nini!

Hapa ndio umuhimu wa viongozi kuwapangia vikosi makocha unapoonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…