Mambo 13 ya busara

hapo namba 7 naye akiamuwa kufata huu ustaarabu itakuwaje?
 
Namba 2 niligundua watu wananishangaa nikajishtukia😅

Namba 5 nilijifunza kunywa nyagi kwenye sherehe fulani nikafika kwenye buffet nashangaa tu sipishi watu, ikabidi nije nibebwe😅

NO. 4, inapendeza zaidi usile hata huko kwako, wewe nenda na hela, ukikosa msosi utakula nje. Ukienda umeshiba ukashindwa kula naona kama sio ustaarabu.
 
Asante kwa kutuongezea maarifa.
 
Hahah na nani tena?

Kama wewe sio Mafwele tuendelee na mada.
Jamani. nimejaribu kukutext PM lkn nimekutana na kufuri. ukute ni kweli ndugu yangu tumepotezana muda mrefu kama miaka mitano hivi. kama ni yule naemfikiria lkn. ila kama sio samahani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…