Kazi inakuja pale huyo Mkuu wako ni design ya kuvaa midabwada. Saa hapo utavaa nini ili usimzidi.Hii imekaa kinafiki sana ila tunaishi nayo
8. Kama mkuu (kiongozi) wako wa kazi atahitaji muende kwenye mualiko alioalikwa, usivae nguo (suits) ya kiwango cha juu kuliko ya mwenyeji (kiongozi) wako.
Ah ngoja nikupmJamani. nimejaribu kukutext PM lkn nimekutana na kufuri. ukute ni kweli ndugu yangu tumepotezana muda mrefu kama miaka mitano hivi. kama ni yule naemfikiria lkn. ila kama sio samahani
๐๐๐๐๐14. Mheshimu anayekupa utelezi
๐๐ Hadi mfupa unatafunwaMkuu hiyo namba 2 ya kuvutana na nyama wenyeji watanisamehe ase.. siwezi kuacha nyama hata iwe ngumu vipi, ikinishinda kabisa nitameza.
Hakika14. Mheshimu anayekupa utelezi
no.2 ni changamoto sana, nyama nyingine ni ngumu sana unawezajikuta unammwagia michuzi mwenyeji wako katika harakati za kuvuta nyama ngumu!Mambo 13 ya busara
1. Ufikapo mahali ambako umealikwa usiketi kwenye kiti kabla ya kukaribishwa na mwenyeji wako.
2. Kama unakula mbele ya watu wengine usipende kuvutana na nyama ambayo ni ngumu. Nyama ngumu achana nayo.
3. Uendapo kwenye usaili wa ajira (kazi) usivae suruali bila mkanda huku ukiwa umechomeka shati. Pia usivae viatu ambavyo havina kamba.
4. Ukialikwa kwenye sherehe yoyote kula kwanza nyumbani kwako kabla ya kwenda kwenye sherehe.
5. Ukialikwa kwenye sherehe yoyote usinywe kilevi ambacho hujawahi kunywa (Usijifunze kunywa pombe eneo hilo).
6. Kama umeongozana na mtu ambaye mnaheshimiana (mama, baba, mke, mume, mkwe, kaka, dada, kiongozi, n.k) halafu umekutana na mtu ambaye mnafahamiana kidogo na mbaya zaidi umemsahau; usimuulize mliwahi kuonana wapi au kukutana wapi. Tafuta wakati mwingine ukiwa pekee yako umuulize.
7. Mtu unayemuheshimu usimpe salamu ya mkono kabla hajaanza kukupa yeye.
8. Kama mkuu (kiongozi) wako wa kazi atahitaji muende kwenye mualiko alioalikwa, usivae nguo (suits) ya kiwango cha juu kuliko ya mwenyeji (kiongozi) wako.
9. Usiongeze maneno mengine tofauti na maneno yaliyosemwa na kiongozi (mkuu) wako wa kazi, au msemaji wa eneo lako la kazi bila ruhusa yake.
10. Usimkosoe mkubwa wako mbele ya wageni wake. Tafuta wakati mwingine wa kumkumbusha kile alichokosea.
11. Ufikapo kwenye sherehe chukua chakula kinachokutosha. Usibebe chakula ambacho huna uhakika wa kukimaliza.
12. Kama unakunywa chai na mkate mbele ya watu wengine usiloweke mkate kwenye chai - hata kama hiyo ndo staili yako ya unywaji wa chai na mkate ukiwa kwako.
13. Usipende kusifia mambo ya mwanamke mwingine (kama vile urembo, n.k) mbele ya mkeo, sifa ambazo mkeo hana.....Usipende kusifu mambo ya mwanaume mwingine mbele ya mumeo (mambo ambayo mumeo hana).
~ Ongeza jambo lingine la Busara...
Right Marker
Dar es salaam
Oktoba 1, 2024
Hahahaโฆ๐๐ Hadi mfupa unatafunwa
#13 Unajikuta unaanza kumsifia Posh alivyo na msambwanda mbele ya mkeo hii noma sana๐Hapa mwisho ume andika vizurii mnoo,, na hil ntali zingatia
Mbaya zaidi unakuta viongozi wenzie wanakusifia umependeza hahaaahaaahhHii imekaa kinafiki sana ila tunaishi nayo
8. Kama mkuu (kiongozi) wako wa kazi atahitaji muende kwenye mualiko alioalikwa, usivae nguo (suits) ya kiwango cha juu kuliko ya mwenyeji (kiongozi) wako.
Hapo utajuta kwa mikausho ambayo boss wako atakuanzishia.Mbaya zaidi unakuta viongozi wenzie wanakusifia umependeza hahaaahaaahh
Noma sanaaaa alaf yy n flat hana CHURA na posh n kweleeeeH
#13 Unajikuta unaanza kumsifia Posh alivyo na msambwanda mbele ya mkeo hii noma sana๐
Linazikubari ishu za kuhondomora hatariiiDaaaah hil LISHANGAZI
Jomba ulikua adimu sana aiseeeUzima upo sana jombaa
๐๐๐๐Daaah aiseeeUkiona mtu amebeba sahani iliyojaa chakula, usimuulize Kama atakimaliza hicho chakula au hatokimaliza.
Ahaaaaa noma sanaaa KUMBE P.DIDY tuna muonea KULE WHITE PART KUNA ME ZILIJIPELEKA KUTEKENYWA zenyewe,,,sasa mkuu hii code ulielewa namna gan?? m najua n KEImagine ni men uyo.
๐๐๐คMambo 13 ya busara