Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
- 20+ Years Freeman Mbowe ameshindwa kuitoa CCM madarakani.
- Ameshindwa kulinda kura za Watanzania.
- Ameshindwa kuweka mashinikizo chanya juu ya chaguzi huru na haki.
- Ameshindwa kuwatengenezea viti maalum kwa wajimbo na kupisha wengine.
- Ameshindwa kutengeneza vyanzo vya mapato ili achangie yeye na kusujudiwa.
- Ameshindwa kuweka wazi mapato na matumizi ya Chadema Digital.
- Amekimbia wanachama alipowachia jela na kuibukia kwa mama yao kwa wasiwasi.
- Anajihusisha na Wenje aliyekiri kuwa rafiki wa mtoto wa mama yao.
- Hajakemea na kuunda tume ya chama kuchunguza matumizi ya pesa chafu kwenye chaguzi za chama.
- Ameshindwa kwa 20+ yrs kuandaa mtu atakae rithi kiti cha mwenyekiti.
- Amesimamia kumuingiza Lowassa akijua hatapewa haki ila atapata ruzuku.
- Ameshindwa kulinda wanachama wake wanaotekwa, teswa, potezwa na kuuawa.
- Ameshindwa kulinda rasilimali za taifa ikiwemo bandari.
- Ameshindwa kulinda hisa ndani ya Tundu Lissu alipolazimika kufunga mikutano ya wanachama wengi kubaki na kupewa ubunge wa kukiri.