Mambo 14 yaliyomshinda Mbowe kwa miaka 34 CHADEMA

  1. 20+ Years Freeman Mbowe ameshindwa kuitoa CCM madarakani.
  2. Ameshindwa kulinda kura za Watanzania.
  3. Ameshindwa kuweka mashinikizo chanya juu ya chaguzi huru na haki.
  4. Ameshindwa kuwatengenezea viti maalum kwa wajimbo na kupisha wengine.
  5. Ameshindwa kutengeneza vyanzo vya mapato ili achangie yeye na kusujudiwa.
  6. Ameshindwa kuweka wazi mapato na matumizi ya Chadema Digital.
  7. Amekimbia wanachama alipowachia jela na kuibukia kwa mama yao kwa wasiwasi.
  8. Anajihusisha na Wenje aliyekiri kuwa rafiki wa mtoto wa mama yao.
  9. Hajakemea na kuunda tume ya chama kuchunguza matumizi ya pesa chafu kwenye chaguzi za chama.
  10. Ameshindwa kwa 20+ yrs kuandaa mtu atakae rithi kiti cha mwenyekiti.
  11. Amesimamia kumuingiza Lowassa akijua hatapewa haki ila atapata ruzuku.
  12. Ameshindwa kulinda wanachama wake wanaotekwa, teswa, potezwa na kuuawa.
  13. Ameshindwa kulinda rasilimali za taifa ikiwemo bandari.
  14. Ameshindwa kulinda hisa ndani ya Tundu Lissu alipolazimika kufunga mikutano ya wanachama wengi kubaki na kupewa ubunge wa kukiri.
Licha ya makosa aliyoifanya, tunahitaji mwenyekiti jeuri na siyo wa maridhiano kuliko mkoa wa Tanganyika.
Kwa maoni yangu mbowe abaki mshauri wa chama au apewe uwenyekiti wa Baraza la wadhamini Huu ni wakati sahihi wa mabadiliko kwa chadema
 
  1. 20+ Years Freeman Mbowe ameshindwa kuitoa CCM madarakani.
  2. Ameshindwa kulinda kura za Watanzania.
  3. Ameshindwa kuweka mashinikizo chanya juu ya chaguzi huru na haki.
  4. Ameshindwa kuwatengenezea viti maalum kwa wajimbo na kupisha wengine.
  5. Ameshindwa kutengeneza vyanzo vya mapato ili achangie yeye na kusujudiwa.
  6. Ameshindwa kuweka wazi mapato na matumizi ya Chadema Digital.
  7. Amekimbia wanachama alipowachia jela na kuibukia kwa mama yao kwa wasiwasi.
  8. Anajihusisha na Wenje aliyekiri kuwa rafiki wa mtoto wa mama yao.
  9. Hajakemea na kuunda tume ya chama kuchunguza matumizi ya pesa chafu kwenye chaguzi za chama.
  10. Ameshindwa kwa 20+ yrs kuandaa mtu atakae rithi kiti cha mwenyekiti.
  11. Amesimamia kumuingiza Lowassa akijua hatapewa haki ila atapata ruzuku.
  12. Ameshindwa kulinda wanachama wake wanaotekwa, teswa, potezwa na kuuawa.
  13. Ameshindwa kulinda rasilimali za taifa ikiwemo bandari.
  14. Ameshindwa kulinda hisa ndani ya Tundu Lissu alipolazimika kufunga mikutano ya wanachama wengi kubaki na kupewa ubunge wa kukiri.
Licha ya makosa aliyoifanya, tunahitaji mwenyekiti jeuri na siyo wa maridhiano kuliko mkoa wa Tanganyika.
Hii imeenda
 
Kama kawaida yenu, kusini mnakuja wakati wa kampeni tu, kampeni zikiisha mnatusahau. Halafu mnataka tuwape nchi !?
Wakati wa kampeni ulifika kijijini kwangu Nkotokwiana (Newala), au uliishia Mtwara mjini tu?
(Wewe ulikacha maandamano)
Sawa
 
Back
Top Bottom