Mambo 15 niliyoyaona Simba vs Al Hilal leo

Malizia kabisa kuwa Simba, Yanga na Azam kama mna mpunga wa kutosha kuna wachezaji watatu wakali sana pale Al Hilal. Kazi kwenu Magori, Hersi na Popat wafuatao ni watu hasa Adama Coulibaly, EtaneJunior Aime Tendeng na Steven Ebuela.
 
Kumekuchaaaaaaa!!!
Simba nguvu 1, Gari Limewakaa.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Tena lipo kwenye mteremko..alieko mbele ajiangalia asije sombwa...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Nambao 15 ...huyo unayesema anakosewa AWESU AWESU ni TAKATAKA KABISA haifai hata kuchezea KENGOLD.

TAKATAKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…