Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Mambo 15 ya kuwashauri viongozi wa Simba
1. Mikakati ya Yanga ni migumu nyie kuijua hivyo Yanga anaweza kubeba ndoo miaka 10 mfululizo
2. Msitumie neno Ubaya Ubwela vibaya coz mwisho wa msimu mtakosa cha kutuambia mashabiki wenu
3. Bado kuna wanafiki wapiga dili ndani ya timu yetu ambao sio waadilifu na waaminifu
4. Kama tunashindwa kuzifunga timu zenye udhamini wa GSM hivi mbabe wa vita mwenyewe tutamweza kweli hiyo Oktoba 19 au tujiandae kudhalilika tena
5. Wachezaji kama Ahoua, Chamou, Mutale, Valentino Nouma, Mukwala wameshindwa kuisaidia timu yetu watafute changamoto nyingine
6. Timu yetu haina wataalamu wazuri nje ya uwanja mfano mechi ya Coastal kuna kitu kilichimbiwa goli la Coastal na mashabiki walikiona Ila nyie mkaona sawa tu
7. Wachezaji wetu wanaletwa wakiwa wazuri lkn baada ya muda wanaonekana wachezaji wa mchongo tu kwa sababu hawafanyiwi dua zinazoeleweka kama zile za Kurujuani
8. Waambieni kweli mashabiki na wanachama kuwa kubeba ndoo msimu huu sio kweli labda GSM aache udhamini ajiondoe Yanga
9. Kuweni na utamaduni wa kuwajibika ili wenye uwezo kiutendaji walete furaha ndani ya timu yetu
10. Kocha Fahdu anaweza kuwa kocha mzuri lakini kwa mazingira ya kikwetu ameshaonyesha kufeli, mfano leo Ahoua hakuwa kabisa na kiwango lakini amemuacha hadi mwisho tukakamata sare
11. Msikasirike tukiwaambia ukweli mfano mm leo kila nnachokifanya hakikai sawa nikifiria sare ya leo, kula ctamani, nyapu sina hamu nayo, simu sina raha nayo kwa sababu ya matusi mitandaoni huku nyie mnakula maisha tu bila hofu wala nini.
12. Mechi za mikoani ni ngumu sana fanyeni mpango wa kusaka kocha mwingine na mrudisheni Juma Mgunda, mmemuondoa Simba Queens kiubinafsi sana.
13. Kocha Fahdu anaweza kuipa ubingwa Yanga mapema sana kama ataendelea kufanya mzaha katika upangaji wa kikosi.
14. Kocha aambiwe akina Chasambi na Karabaka wanahitaji kucheza sio kuua viwango vyao halafu yeye arudi kwao sauzi.
15. Tujenge uwanja wetu vinginevyo viwanja vyote vitawekwa miba hadi tushike adabu yetu, mfano mabao aliyofungwa Camara leo ni jini mtupu yule wala sio mabao, yeye mwenyewe ameshangaa ghafla tu goli