Mambo 15 ya Kuwashauri Viongozi wa Simba baada ya kuambulia Sare vs Coastal Union Leo

Mpira wa kitaalamu mtafungwa popote ligi ya Tanzania ni ya 6 kwa ubora Africa na mwaka huu timu zinazo shiriki zimesajiri kutokana uwezo wao upinzani ni mkali, (mkubwa).
Mpira wa Tanzania siyo yanga na simba tu, mpira unalipa vijana wanafanya mazoezi na wanajituma kwasasa mpira ni biashara
 
Acha ushabiki maandazi wewe
Droo moja tu unsoma kila mtu hafai.
Mbona mlipoingia makundi shirikisho hujaja kusema wachezaji hawafai
Huo ushamba!!!
 
Miye nimependa hapa

Aaahaaaa

"mfano mabao aliyofungwa Camara leo ni jini mtupu yule wala sio mabao, yeye mwenyewe ameshangaa ghafla tu goli"
 
Mangungu acha kujitetea unahujumu simba
 
Hivi ni ile sare na Coast Union inayowaanya kila baada ya lisaa mfungue nyuzi? Au baada ya ile mechi usiku Simba ilienda kucheza mechi nyingine na yenyewe mkafungwa?

Mashabiki wa Yanga na Simba mna shida kubwa sana, na sijui ilikuwaje mkaanza kushabikia soka.

Wenzenu Yanga nao naona walishajazwa mtaroni nao wakajaa, timu inashinda wakawa wanajazwa eti ushindi ni mdogo sana inaonekana timu imeshuka kiwango, wakajaa wakawa hawana amani wakaanza minong'ono.

Halafu soma vizuri ulichokiandika, umeandika "mambo 15 ya kuwashauri Simba", lakini nikiangalia hayafiki 15. Mfano hilo la kwanza; "Mikakati ya Yanga ni migumu nyie kuijua hivyo Yanga anaweza kubeba ndoo miaka 10 mfululizo". Huu siyo ushauri, hii ni taarifa.

Kuna mengine 6 na kufanya jumla yake kuwa 7 ambayo yote ni mchanganyiko wa malalamiko na taarifa tu, siyo ushauri.
 
Tumsamehe mleta post, kipindi ana post alikua kichakani anakata gogo, ili akawashe moto.
 
Timu lenu bovu linapress kwa mwendo kwa kobe,back pass na square pass halafu mnamlaumu GSM!
 
Hapana tatzo mashabiki tunataka timu zetu zishinde kila siku. Mm ni yanga ila mpira walio cheza simba kipindi cha kwanza ata tungekuwa sisi yanga tunge haa
Sahihi kabisa! Mimi ni Yanga 110% lakini niliiona uhai mwingi kwenye uchezaji wa Simba.
Simba kikosi kinaboreka wakati Yanga kina dhoofika!

Mkiwapa pressure hizo mbili wachezaji wenu watapoteana sana!
 
Duh!
 
Miye nimependa hapa

Aaahaaaa

"mfano mabao aliyofungwa Camara leo ni jini mtupu yule wala sio mabao, yeye mwenyewe ameshangaa ghafla tu goli"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] funny
 
16.yanga bingwa
 
Bado hamjasema, mpaka mseme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…