Mambo 15 ya kuzingatia kwa kijana katika kuanzisha biashara

Point namba 8 ndio ya muhimu sana kwa wanaoanza biashara. Hizo zingine zinajazia. Nashukuru nimepata kitu.

NB: Adui yangu namba moja wakati naanza biashara yangu January mwaka jana alikuwa ni TRA. Yani badala ya kukupa hamasa ya kuanza biashara anahangaika na kukukadiria kiwango cha kodi kikubwa wakati bado hata mzunguko wa biashara haujatulia. Anyway, pamoja na yote hayo bado nadunda hadi lengo langu litimie.
 
Ilikuwa biashara gani mkuu na walikukadiria sh ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara mipango na zari mengine mbwembwe tuu tunatishaaaana chya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…