Geoffrey Eng Atkinson
Senior Member
- Mar 22, 2017
- 199
- 159
Je mkuu ni bishara gan umefanya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa biashara gani mkuu na walikukadiria sh ngapiPoint namba 8 ndio ya muhimu sana kwa wanaoanza biashara. Hizo zingine zinajazia. Nashukuru nimepata kitu.
NB: Adui yangu namba moja wakati naanza biashara yangu January mwaka jana alikuwa ni TRA. Yani badala ya kukupa hamasa ya kuanza biashara anahangaika na kukukadiria kiwango cha kodi kikubwa wakati bado hata mzunguko wa biashara haujatulia. Anyway, pamoja na yote hayo bado nadunda hadi lengo langu litimie.