Mambo 20 ya kumuambia mpenzi wako Kila siku


Kabla ya kuwambia chochote hakikisha:

1. Umempa maitaji yake yote.
2. Watoto wamelipiwa ada.
3. Hana shida ndogondogo.

Bila hayo matatu hapo juu, hata ukimwambia yeye nk Jenifer Lopez, wakati hela ya nguo na kujiremba hana haitasaidia kitum.

Kwa kifupi, haya mambo yako 20 hayawezi kuwa mbadala wa maitaji yake ya msingi, na haya mambo ma 3 ndo msingi wa kila kitu.
 
Una hera lakini???
 
Shule bado hazijafungwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…