Peril22
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,710
- 2,951
Wangu kila siku ananiambia sipo romantic, namwangaliaa, nacheka kimoyomoyo,
leo kanambia nipo home nimsaidie kumfumua nywele aende salon nikamjibu endelea kuangalia sinema zetu ila hata hao unaowaona humo maisha kwenye ground hayapo hivo. Nikampa hela akafumue na kusuka huko kama hawezi akafie mbele nikasepa zangu.