Mmmmh huu sasa uongo, LolHawaamini ktk kujitawaza baada ya haja kubw, kushika kinyes ni Lana
Aisee maeneo ya shambani kule liweta zamani kulikuwa na ngedere wengi,lakini walipoingia wamatengo kulima, ngedere wote wameisha
Shughuli za wamatengo mfano msiba au sherehe kupika kitimoto ni jambo la kawaida kabisa
Upo sahihi kabisa mkuuu. Mayani gapata tabu sana Kwa vamatenguUwepo wa mmatengo huwa ni tishio kwa usalama wa nyani na ngedere.