Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo mama namjua nitaenda kusema umemwanika huku😂🙌🏾ila alizingua hadi size ya dusheleleeeMama mmoja tuliwahi kufanya naye kazi ofisi moja, ilikuwa mara kwa mara anafunguka kuhusu habari za familia yake hadi za chumbani. Anafika asubuhi yuko na mnuno mmoja wa hatari....kwa madai ya kwamba eti jana yake usiku mumewe alimtaka akampa halafu asubuhi tena mumewe anataka tena lakini yeye kamnyima. Mtu anayeelezea hadi size ya uboor wa mumewe!!
Unamtazama unamtafakari kisha unamuacha na mipasho yake unaendelea na kazi zako.
Chai.....lisije kukukuta alilolisema mtoa mada aya ya mwisho
Ukiyatimba siku utamjua vizuri mmeoKwanini?
Watu mna vitisho jamani 🤣🤣🤣🤣Ukiyatimba siku utamjua vizuri mmeo
Baadhi ya wanawake wanafyatuka mambo yasiyostahili kuhadithia hata kwa rafiki yake. Akikonyezwa tu huko keshafyatuka, akigongwa huko na mume wake lazima afyatuke. Ni shidahuyo mama namjua nitaenda kusema umemwanika huku😂🙌🏾ila alizingua hadi size ya dusheleleee
huo uchizi sasa khaah,,basi wawe wanafanya tu hadharan coz sio faragha tena.Baadhi ya wanawake wanafyatuka mambo yasiyostahili kuhadithia hata kwa rafiki yake. Akikonyezwa tu huko keshafyatuka, akigongwa huko na mume wake lazima afyatuke. Ni shida
Wakaka mnakuwa wakali namna hii, hivi kweli mkeo atakuelewa.Wanawake gani hao unawaambia haya mambo? Wenzako wako mbele balaa wanasuguana wao kwa wao, hivi wewe bado uko local sana nini, mume ni nani wakati wazazi tu wanakemewa au hawasikilizwi ng’o, dawa ya mwanamke ajue kabisa mume wake akimzingua anapata adhabu au moto mkubwa utamwakia ikiwa pamoja na kurudishwa kwao haraka..!! Na mwanaume hata kama unampenda mkeo acha kucheka cheka hovyo, atakudharau, wakati mwingine cheka nae shortly, ila akikuangalia anajua kabisa hili jamaa nilizingua tu analianzisha moto mbaya sana… codes zako hazisomi kwake.. Ujue hapo maisha yatakuwepo..!!
Nilikuwa na demu fulani nikashangaa alivyo jasiri wa kutembea usiku tena kwenye vichochoro ambavyo wanaume wengi wataogopa kukatisha. Halafu sehemu za starehe anazijua karibu zote, kwenye kitongoji anachokaa. Baade nikaja kugundua kuwa ni kahaba.6 usijifanye mjuaji wa kila kitu, hata kama kitu/sehemu unaijua jifanye mjinga
ukijidai unazijua sehemu kibao atakuona malaya hata kama siyo
Hiyo namba 5 huyu mtu wangu kafeli kabisa...bahati mbaya ni muhaya,aysee hii kitu inanikera sana...na asipoangalia nampiga chini kwa sababu ya hili! Kabisa wallahi1. Bikra yangu ilitoka na baiskeli
2. Kwakuwa hujanikuta bikra ww ni wa pili
3. 🤐
4. 🤐
5. Sitokuja kufanya hivyo, mimi napenda sana wamama..!! Hata akinichukia nitazidi kumpenda mpk ataona aibu.
6. Nitajua nikifika ndani ya ndoa ( Huwezi kujua uchungu wa kunguni usiowalalia)
Mambo yangu niachiwe mwenyewe 😁