Mambo 5 mwanamke hapaswi kumwambia mume wako! Never!

huyo mama namjua nitaenda kusema umemwanika huku😂🙌🏾ila alizingua hadi size ya dusheleleee
 
labda kam gari halijawashwa il kama ufunguo umesha kekenya kila kitu kitakuwa waz haina ubishi
 
huyo mama namjua nitaenda kusema umemwanika huku😂🙌🏾ila alizingua hadi size ya dusheleleee
Baadhi ya wanawake wanafyatuka mambo yasiyostahili kuhadithia hata kwa rafiki yake. Akikonyezwa tu huko keshafyatuka, akigongwa huko na mume wake lazima afyatuke. Ni shida
 
 
Baadhi ya wanawake wanafyatuka mambo yasiyostahili kuhadithia hata kwa rafiki yake. Akikonyezwa tu huko keshafyatuka, akigongwa huko na mume wake lazima afyatuke. Ni shida
huo uchizi sasa khaah,,basi wawe wanafanya tu hadharan coz sio faragha tena.
 
Wakaka mnakuwa wakali namna hii, hivi kweli mkeo atakuelewa.
Wanawake tupo tulio tulia, mi nadhani labda umekutana na waliochoka maisha.
Mwanamke anataka kubembelezzwa na kuchukuliwa kama mtoto.
 
Ukiwa na mwanamke ukamuliza idadi akakutajia kuanzia watatu oa huyo ni wife material!!
Kina Sisi idadi yetu ni moja Tu mmoja!!
Na mwanaume anayeuliza maswali ya hivyo hamnazo huyo!!!chenga kabisa
 
1. Bikra yangu ilitoka na baiskeli
2. Kwakuwa hujanikuta bikra ww ni wa pili
3. 🤐
4. 🤐
5. Sitokuja kufanya hivyo, mimi napenda sana wamama..!! Hata akinichukia nitazidi kumpenda mpk ataona aibu.
6. Nitajua nikifika ndani ya ndoa ( Huwezi kujua uchungu wa kunguni usiowalalia)
 
6 usijifanye mjuaji wa kila kitu, hata kama kitu/sehemu unaijua jifanye mjinga
ukijidai unazijua sehemu kibao atakuona malaya hata kama siyo
Nilikuwa na demu fulani nikashangaa alivyo jasiri wa kutembea usiku tena kwenye vichochoro ambavyo wanaume wengi wataogopa kukatisha. Halafu sehemu za starehe anazijua karibu zote, kwenye kitongoji anachokaa. Baade nikaja kugundua kuwa ni kahaba.
 
Umekuta Mlango uko wazi alaf unauliza nan alikutoa bikra khaaa....we piga mkuu ila acha kumuonea wivu
 
Hiyo namba 5 huyu mtu wangu kafeli kabisa...bahati mbaya ni muhaya,aysee hii kitu inanikera sana...na asipoangalia nampiga chini kwa sababu ya hili! Kabisa wallahi
 
Ila ili kuepukana na yote muoe mwanamke mwenye bikra tu ndoa hizi zinatulia sana

Mwanamke kapitiwa na watu zaidi wa watatu wanini huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…