Mambo 5 Niliyoyaona kwenye Video Clip ya Mabao Mawili Safi Kabisa na Yasiyo na Utata ya Simba huko Misri Leo

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
1.Dua kubwa na nzito inatakiwa kufanyika kuwalinda wachezaji wetu, narudia kama hakuna Dua wachezaji Hawa wakitua uwanja wa Ndege tu wakati wanarudi wameyakanyaga, asikwambie mtu Utopolo hawana wanachokitegemea zaidi ya kuwategeshea miba.Uwanja wa Bunju hadi wanakokaa wachezaji walindwe kwa Dua, haiwezekani wachezaji waletwe wakiwa wazuri huko kwao wakiingia Tanzania tu hawana uwezo dimbani, hili tatizo litatuliwe.

2. Yule mwarabu wa Kenya aliyefunga bao la kwanza ule muwa alioutandika, sijui itakuwaje, winga yeye winga Mpanzu, hakyamungu Yanga akitufunga safari hii ndani ya uongozi kutakuwa na kidudu mtu sio Bure.

3. Mshambuliaji hatari duniani Jonathan Sowah kwa mabeki wale akina Job, nasema Msimu huu kazi IPO labda wachezaji warogwe na viongozi wachukulie kawaida TU.Sowah mkatili sana.

4.Nimemuona Mpanzu Leo akidambua dambua, dah Simba day lini jamani

5.Kama wametuomba mechi ya kirafiki wajibuni tu tunaogopa nn
 
Magoli nikama yakupewa angalia vizuri huyo kipa
 
Iyo mechi ya mazoezi wamecheza na timu ya aina Gani tuanzie hapo kwanza kabla atujaendelea,,
 
Na sisi si tuwaroge akina pakome? Kwanza kauli ya ubaya ubwela haijatendewa haki kabisa
 
Miaka ya nyuma Simba ilikuwa haina huu upuuzi wa Mashabiki kama mlivyo sasa , yaani timu haijaanza mashindano lakini nyie tayari mmeanzisha Midundiko na kupandisha kanga moko na kuweka vidole juu.

Hivi kweli ni akili kushangilia ushindi wa pre season.
Simba ni Club nzuri sana sema bahati mbaya ina Mashabiki wajinga wajinga sana.
 
Bila shaka wewe utakuwa ni shabiki wa simba unayejitambua. Hizi tambo pre season na usajili, mwishoni mwa msimu hugeuka na kuwa malalamiko.
 
1.Dua kubwa na nzito inatakiwa kufanyika kuwalinda wachezaji wetu, narudia kama hakuna Dua wachezaji Hawa wakitua uwanja wa Ndege tu wakati wanarudi wameyakanyaga, asikwambie mtu Utopolo hawana wanachokitegemea zaidi ya kuwategeshea miba.Uwanja wa Bunju hadi wanakokaa wachezaji walindwe kwa Dua, haiwezekani wachezaji waletwe wakiwa wazuri huko kwao wakiingia Tanzania tu hawana uwezo dimbani, hili tatizo litatuliwe.

2. Yule mwarabu wa Kenya aliyefunga bao la kwanza ule muwa alioutandika, sijui itakuwaje, winga yeye winga Mpanzu, hakyamungu Yanga akitufunga safari hii ndani ya uongozi kutakuwa na kidudu mtu sio Bure.

3. Mshambuliaji hatari duniani Jonathan Sowah kwa mabeki wale akina Job, nasema Msimu huu kazi IPO labda wachezaji warogwe na viongozi wachukulie kawaida TU.Sowah mkatili sana.

4.Nimemuona Mpanzu Leo akidambua dambua, dah Simba day lini jamani

5.Kama wametuomba mechi ya kirafiki wajibuni tu tunaogopa nn
Hahahaa dah aisee! Pointi yako ya mwisho ina mashiko kuwa mkubali kucheza mechi ya mazoez na yanga. Ila hzo point nyingne mmmh hapana mkuu muda bado
 
Miaka ya nyuma Simba ilikuwa haina huu upuuzi wa Mashabiki kama mlivyo sasa , yaani timu haijaanza mashindano lakini nyie tayari mmeanzisha Midundiko na kupandisha kanga moko na kuweka vidole juu.

Hivi kweli ni akili kushangilia ushindi wa pre season.
Simba ni Club nzuri sana sema bahati mbaya ina Mashabiki wajinga wajinga sana.
Kwani huyo ni simba mkuu?
 
Tulia tunajenga timu kwa ajili ya kufika fainali club bingwa. Kuifunga Yanga sio kipaumbele. Hahahha.
 
Kipindi chote Cha Pre Season Makolo huwa mnafuraha sana,baada ya ligi kuanza Vilio vitaanza upya!
 
Back
Top Bottom