Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Unajipa moyoπππππππ
Iyo mechi ya mazoezi wamecheza na timu ya aina Gani tuanzie hapo kwanza kabla atujaendelea,,1.Dua kubwa na nzito inatakiwa kufanyika kuwalinda wachezaji wetu, narudia kama hakuna Dua wachezaji Hawa wakitua uwanja wa Ndege tu wakati wanarudi wameyakanyaga, asikwambie mtu Utopolo hawana wanachokitegemea zaidi ya kuwategeshea miba.Uwanja wa Bunju hadi wanakokaa wachezaji walindwe kwa Dua, haiwezekani wachezaji waletwe wakiwa wazuri huko kwao wakiingia Tanzania tu hawana uwezo dimbani, hili tatizo litatuliwe.
2. Yule mwarabu wa Kenya aliyefunga bao la kwanza ule muwa alioutandika, sijui itakuwaje, winga yeye winga Mpanzu, hakyamungu Yanga akitufunga safari hii ndani ya uongozi kutakuwa na kidudu mtu sio Bure.
3. Mshambuliaji hatari duniani Jonathan Sowah kwa mabeki wale akina Job, nasema Msimu huu kazi IPO labda wachezaji warogwe na viongozi wachukulie kawaida TU.Sowah mkatili sana.
4.Nimemuona Mpanzu Leo akidambua dambua, dah Simba day lini jamani
5.Kama wametuomba mechi ya kirafiki wajibuni tu tunaogopa nn
Wapi umeona mkuu? ππUnajipa moyoππ
Bila shaka wewe utakuwa ni shabiki wa simba unayejitambua. Hizi tambo pre season na usajili, mwishoni mwa msimu hugeuka na kuwa malalamiko.Miaka ya nyuma Simba ilikuwa haina huu upuuzi wa Mashabiki kama mlivyo sasa , yaani timu haijaanza mashindano lakini nyie tayari mmeanzisha Midundiko na kupandisha kanga moko na kuweka vidole juu.
Hivi kweli ni akili kushangilia ushindi wa pre season.
Simba ni Club nzuri sana sema bahati mbaya ina Mashabiki wajinga wajinga sana.
Hahahaa dah aisee! Pointi yako ya mwisho ina mashiko kuwa mkubali kucheza mechi ya mazoez na yanga. Ila hzo point nyingne mmmh hapana mkuu muda bado1.Dua kubwa na nzito inatakiwa kufanyika kuwalinda wachezaji wetu, narudia kama hakuna Dua wachezaji Hawa wakitua uwanja wa Ndege tu wakati wanarudi wameyakanyaga, asikwambie mtu Utopolo hawana wanachokitegemea zaidi ya kuwategeshea miba.Uwanja wa Bunju hadi wanakokaa wachezaji walindwe kwa Dua, haiwezekani wachezaji waletwe wakiwa wazuri huko kwao wakiingia Tanzania tu hawana uwezo dimbani, hili tatizo litatuliwe.
2. Yule mwarabu wa Kenya aliyefunga bao la kwanza ule muwa alioutandika, sijui itakuwaje, winga yeye winga Mpanzu, hakyamungu Yanga akitufunga safari hii ndani ya uongozi kutakuwa na kidudu mtu sio Bure.
3. Mshambuliaji hatari duniani Jonathan Sowah kwa mabeki wale akina Job, nasema Msimu huu kazi IPO labda wachezaji warogwe na viongozi wachukulie kawaida TU.Sowah mkatili sana.
4.Nimemuona Mpanzu Leo akidambua dambua, dah Simba day lini jamani
5.Kama wametuomba mechi ya kirafiki wajibuni tu tunaogopa nn
Kwani huyo ni simba mkuu?Miaka ya nyuma Simba ilikuwa haina huu upuuzi wa Mashabiki kama mlivyo sasa , yaani timu haijaanza mashindano lakini nyie tayari mmeanzisha Midundiko na kupandisha kanga moko na kuweka vidole juu.
Hivi kweli ni akili kushangilia ushindi wa pre season.
Simba ni Club nzuri sana sema bahati mbaya ina Mashabiki wajinga wajinga sana.
Msitupangie cha kusema wala kufurahia...Bila shaka wewe utakuwa ni shabiki wa simba unayejitambua. Hizi tambo pre season na usajili, mwishoni mwa msimu hugeuka na kuwa malalamiko.
Dada mkuu wa umbumbumbuni mbona kama unaogopaπππππ