Mambo 5 ya kufanya ukiwa umechoka kila kitu


Hili andiko limenilenga! Asante
 
elimu nzr nmeipenda pmj mkuu[emoji120]
 
Kukaa na watoto kunasaidia sana. Wanakukumbusha ulivyokuwa mtoto kipindi hukujua chochote wala kujali chochote na bado ukawa na furaha isiyo na kikomo bila sababu, kwamba maisha hayahitaji userious sana.
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Umeongea vizuri sana na ni kweli kabisa however natamani kufafanuliwa kidogo. Haya ni matendo yanayotokea voluntarily au? Tunafahamu miayo sio kitu ambacho mtu anaamua.
Siku hizi mtu akichoka pia anakimbilia Instagram, Twitter na mitandao mingine ya kijamii hiyo inakaa sehemu gani mtaalamu.
 
Kukaa na watoto kunasaidia sana. Wanakukumbusha ulivyokuwa mtoto kipindi hukujua chochote wala kujali chochote na bado ukawa na furaha isiyo na kikomo bila sababu, kwamba maisha hayahitaji userious sana.
Wakitoka hapo wana baba zao wakiumwa au wakiwa na njaa ama chochote wapo chini ya ulinzi. wewe je?

Umeielewa makala mkuu au ndio stress zenyewe.

Rakims
 
Well, ukichoka akili pia hata hiyo inaweza ikawa inakutibua tu. ukatukana watu mitandaoni baadae ukajiona mjinga ndio kama member wengine humu mkuu.

Rakims
 
mmh Hapo kwenye Miayo hapana aisee nimeshuhudia jamaa akipiga Miayo mingi ujuwe anataka kupandisha ruhan wake πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…