Mambo 5 ya kuzingatia kabla ya kuchora Tattoo Mwilini

Mambo 5 ya kuzingatia kabla ya kuchora Tattoo Mwilini

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
5e87f682e9f0b52f8e9c5b5010089d84.jpg

Idadi ya vijana wanaojichora katika miili yao (tattoo) imeongezeka sana maeneo mengi hasa mijini. Lakini sio wote wanaofahamu kuwa kuna mambo ya msingi ya kujiuliza kabla ya kujichora tattoo katika mwili wako.

Baaadhi yao wamekuwa wakichora tattoo za kudumu huku wengine wakichora zinazokaa kwa muda kisha kufutika. Baadhi huwa wanajutia kwanini walifikia uamuzi huo.

Haya ni baadhi ya mambo unayotakiwa kujiuliza kabla ya kuchora tattoo mwili;-

Ni ipi maana ya mchoro (tattoo) unayotaka kujichora?

Watu wengi hujichora tattoo wakitaka kuweka kumbukumbu au kuelezea jambo fulani. Walengwa na mchoraji ndio mara nyingi huelewa tattoo katika mwili wa mtu fulani inamaanisha nini.

Ni vyema kabla ya kujichora ukajiuliza ni maana gani unataka kuielezea na kuhakikisha kuwa tattoo yako haitoi maana mbaya kwa jamii. Unashauriwa tafakari vyema kabla ya kujichora isije ikafika mahali ukaanza kujuta.

Unafanyakazi ya aina gani

Ni lazima ufahamu maadili ya kazi yako vizuri kabla ya kuchora mchoro kwenye mwili wako. Kuna baadhi ya kazi ambazo hauruhusiwi kuwa na mchoro wowote kwenye mwili wako, nyingine unaweza kuwa na mchoro lakini usio sehemu ya wazi wakati kazi nyingine unaweza ukajichora popote utakapo.

Baadhi ya wachoraji huwa wanamuuliza mteja taaluma yake kabla ya kumchora ili waweze kumshauri inapohitajika. Kwenye jamii nyingi za Kiafrika, mtu aliyejichora tattoo huonekana ni muhuni, asiye na maadili licha ya kuwa hali hiyo kwa sasa inaanza kupungua hasa mijini.

Hivyo, fikiria kuhusu maadili ya kazi yako, fahamu kuwa tattoo inaweza kuwa sababu ya kukukosesha au kukufukuzisha kazi.

Tattoo ya muda mfupi au ya kudumu?

Mmoja wa wasichana aliyechorwa tattoo miaka kadhaa nyuma alisema kuwa anajuta sana kuwa na tattoo kwenye mwili wake. Wakati alipochorwa tattoo hiyo ulikuwa ni wakati alikuwa na hamu kubwa ya kuchorwa na alifanya maamuzi ambayo sasa anayajutia.

Ukishafahamu aina ya tattoo uanyoitaka inatakusaidia kutafuta mchoraji kwa sababu, kama utataka tattoo ya kudumu, unashauriwa kutafuta mtu mzoefu ili akikuchora mchoro upendeze na si mchoraji yeyote kwa sababu akichora mchoro mbaya kama ni sehemu ya wazi utageuka kuwa kituko.

Afya

Uchoraji wa tattoo mwilini hutumia vitu vyenye ncha kali na kemikali tofauti ambazo wakati mwingine huwa ni hatari kwa afya. Kwa mujibu wa madaktari, uchoraji tattoo unaweza kusababisha matatizo kama granuloma, keloids na allergies.

Watu wengine tayari wana matatizo ya ngozi, hivyo kutumia vitu vyenye ncha kali kuchora tattoo katika ngozi zao wanajiweka kwenye hatari ya kupata matatizo zaidi.

Unashauriwa kutumia dawa zinazoweza kuzuia matatizo katika mchoro wako au kama una matatizo kutojichora kabisa.

Mtazamo wa jamii

Jamii huwa na mitazamo tofauti tofauti kufuati mambo fulani yanayofanywa na wanajamii. Imani za watu katika jamii ni chimbuko la mfumo wa kifamilia, elimu , dini, uchumi na siasa za jamii husika, vyote hivi huamua namna jamii inavyochukulia mambo.

Watu wengi hukataa kuchora tattoo katika miili yao kwa sababu kubwa moja kuwa, dini hairuhusu. Mwili wa binadamu ni hekalu la Mungu, hivyo waumini wa dini hawapo tayari kuliharibu.

Jamii za nchi za magharibi wao huona tattoo kama ni jambo la kawaida kutokana na sababu nilizozitaja hapo juu, lakini kwa upande wa Afrika hali ni tofauti kulingana na sababu hizo hizo.
 
Ukiangalia nyuma na kustaajabu heka heka na pirika pirika za kipindi chako ujana unabaki kucheka mwenyewe na baada ya kucheka sana unakaa unajiuliza hivi kweli niliyafanya hayo nikiwa na akili timamu au nilikuwa nimerogwa...!!??

Hakika ujana ni nusu ya uwendawazimu......

Kijana akiutumia vyema ujana wake kwenye mambo ya msingi na yenye manufaa kwenye maisha yake....hakika huyo amefaulu......na yule anayeutapanya ujana wake kufanya mambo ya kipuuzi hata yanayohatarisha maisha yake hakika huyo ni mpotevu na majuto ndio malipo yake.......
 
Kati ya watu wanaojutia kuchora tattoo mmoja wapo ni mie,kweli ujana maji ya moto
 
What are the disadvantages of having a permanent tattoo?

5 ANSWERS



Ananya Sanvi, Learner and always be

2.8k Views

Well,I ran across the web to find some and found few worth putting up.

AllergiesOne of the disadvantages of getting a permanent tattoo is the effects of a sensitive skin. Those with sensitive skin are more prone to developing rashes due to the ink used to get a tattoo.

Acute inflammatory allergic reaction. Many people who get tattoos experience what's called an acute inflammatory reaction — the skin becomes red, slightly swollen, and irritated at the site of the tattoo. This occurs because of the irritation caused by the tattoo needle and the tattoo ink. It's not serious, and generally subsides within about two or three weeks.Photosensitivity. Tattoos that are exposed to the sun may result in an allergic reaction, particularly those that contain yellow tattoo ink. Yellow and some red pigments contain cadmium sulfide, which can cause an allergic reaction when exposed to the sun.Dermatitis. Some of the most common tattoo allergies include types of dermatitis — photoallergic and allergic contact dermatitis. Most often, these types of allergic reactions are caused by mercury sulfide, which is found in red tattoo ink.Lichenoid allergic reaction. This is rare, but is typically related to red tattoo ink, and characterized by small bumps that appear around the red ink areas.Pseudolymphomatous allergic reaction. Caused by sensitivity to a substance in the tattoo ink, this is a delayed reaction — it doesn't occur right after getting the tattoo. Red tattoo ink is usually to blame, but it can result from blue and green as well.Granulomas. These are small bumps that can appear as a result of an allergic reaction. Red tattoo ink is most often the culprit, but purple, green, or blue tattoo ink may also cause these bumps to form around the site of the tattoo.
Signs of an Allergic Reaction

The signs vary depending on the type of allergic reaction and the ingredient in the tattoo ink that's causing it. Common signs of an allergic reaction to a tattoo include:

SwellingRednessRash or bumpsFlakingScaly appearancePurple or red nodules around the tattoo
InfectionThe other disadvantage of getting a permanent tattoo is infection. This usually occurs when you visit an unhygienic studio to get inked. Hepatitis is one of the infections which is caused by used and infected needles.

After CareOne of the main disadvantages of getting a permanent tattoo is the lack of after care. When you do not follow certain rules applied by the artist, you will run into major problems related to your tattoo.
Blood donationDid you know that people with tattoos cannot donate blood? Yes, it is one of the main disadvantages of getting a permanent tattoo.
Tattoo is only acceptable if the tattoo was applied by a state-regulated entity using sterile needles and ink that is not reused. Cosmetic tattoos applied in a licensed establishment in a regulated state using sterile needles and ink that is not reused is acceptable. You should discuss your particular situation with the health historian at the time of donation.

Wait 12 months after a tattoo if the tattoo was applied in a state that does not regulate tattoo facilities. Currently, the only states that DO NOT regulate tattoo facilities are: District of Columbia, Georgia, Idaho, Maryland, Massachusetts, Nevada, New Hampshire, New York, Pennsylvania, Utah and Wyoming. This requirement is related to concerns about hepatitis.

What are tattoo and piercing facilities?
Public health sanitarians inspect and license tattoo and piercing establishments to ensure safe and sanitary conditions are being maintained. Anyone considering a tattoo or piercing should be aware of the risks and follow certain guidelines when choosing a tattoo or piercing establishment. Learn more about risks and guidelines for selecting a tattoo or piercing establishment.


OccupationIn some organisations, employees are forbidden from the station if they are inked as it might get considered to be ugly and not dignified .

www.bbc.com/news/magazine-2921152Source -
www.boldsky.com
www.hamiltoncountyhealth.com
www.tattooinindia.com
www.hepmag.com

Written Nov 19, 2015 · View Upvotes · Answer requested byDiksha Bansal

Share

MORE ANSWERS BELOW. RELATED QUESTIONS

What are the advantages and disadvantages of having a tattoo?

Is it healthy to have permanent tattoos?

Where can I get a permanent tattoo in Hyderabad?

Is having a tattoo in your hand going to be disadvantage if you are working in the engineering field?

How much would a 6 letter permanent tattoo cost?

Can having a permanent tattoo lead to skin cancer?

How are permanent tattoos harmful?

What are the effects of permanent tattoos?

What and who are the best permanent tattoo shops and/or artists in Hyderabad, India?

What's the average cost for permanent tattoos in Chennai?

Why are tattoos permanent?

How do I remove a permanent tattoo?

Can a civil servant have a permanent tattoo which is not visible?

What are some disadvantages people with tattoos have over people who don't?

Why did Hindu women in India from the pre-independence era have permanent tattoos on their hand?

OTHER ANSWERS



Rahul Ganguly, Inked with multiple ear piercings; not rebellious at all.

580 Views

Unless you have a specific skin condition, such as keloid formation or allergies, there are no medical disadvantages of getting tattoos. However socially tattoos are best kept hidden in a formal work environment. Make sure you are able to cover up the tattoo, so it's always better to get in done in places that can be hidden by clothing. However this rule can be bent if your office policy is more flexible. But generally, nothing above the neck is a good idea.

The one thing to remember while considering a tattoo is why you're getting it. If you want to get yet another butterfly wings or angels, please stop and reconsider your idea. Chances are you'll end up getting bored in a few years. Tattoos are usually for life, and laser removal procedures are messy and expensive.

Get your tattoo from a reputed artist who uses disposable needles and sterilised tools. While your tattoo is healing, the first two weeks are important, and you need to follow care instructions carefully. And don't ever put Vaseline in your tattoo. It'll pull ink out and fade the ink. Use a light moisturizer like Johnson's baby oil instead.

A good rule is to give yourself six months to think about the tattoo idea. Once you've got a meaningful concept in mind, discuss it with your tattoo artist and you'll be good to go.

Written Oct 2, 2015 · View Upvotes · Answer requested byDiksha Bansal

Share



N. E. Perez, I can give you the Pros and Cons for just about any subject - it's what I do.

470 Views · Most Viewed Writer in Tattoos with60+ answers

There are no advantages or disadvantages with having a tattoo.

There could be social issues with getting a tattoo depending on where you live and/or tattoo placement, as well as the size of the tattoo.

In most office environments here in America, I think a small "stylish" or "classy" tattoo has become accepted when seen on a woman. I have seen many women with a small tattoo on their wrist or a cursive name or small design on a shoulder tattoo.

As long as the woman does not have "sleeves" or face/front of neck tattoos she should be accepted in an office environment.

I've also seen tasteful tattoos behind a woman's ear or on the back of the neck that look very sexy (in my opinion) and are in no way out of place in an office setting or most other professional work places.

Written Oct 2, 2015 · View Upvotes · Answer requested byDiksha Bansal

Share



Siddharth Paul, Inked. Loved it. Need more. Society frowns. I don't give shit.

305 Views

I have had a tattoo on my right hand, the outer bicep, if I might call it that, for more than two years now. It's fairy large. It's an anchor. So far so good. No issues.
I don't think there are many disadvantages of having a tattoo.
But,
If you wanna join the Indian army, tattoos other than the ones on the inside of your forearms MIGHT be an issue. Also it's important that the tattoo is not vulgar nor hurts religious sentiments.For a first tattoo, either get a small one or one on a limb where you can hide it, or flaunt it, according to convenience.Blood donation: This according to me is the greatest disadvantage. Most institutions will refuse blood donations from you coz of your tattoos
 
nikiona mtu mwenye tatoo natamani na mimi nichore, zinavutia kweli
 
Nadhani mi nshakuwa teja wa Tattoo ila nikiwa ofisini huwezi iona hata moja...
 
Back
Top Bottom