Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,494
Sikushauri. Nami mwanzoni nilikuwa napenda lkn baada ya kuja kujua maagizo ya Mungu nashukuru Mungu sikuchora. Tatoo hutumika kama mlango wa ibilisi kujiattach na maisha yako. Tena kama kuna picha inakuja mawazoni then fanya kila bidii kuirebuke.Hana shida