Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,494 Aug 17, 2016 #21 Evelyn Salt said: Hana shida Click to expand... Sikushauri. Nami mwanzoni nilikuwa napenda lkn baada ya kuja kujua maagizo ya Mungu nashukuru Mungu sikuchora. Tatoo hutumika kama mlango wa ibilisi kujiattach na maisha yako. Tena kama kuna picha inakuja mawazoni then fanya kila bidii kuirebuke.
Evelyn Salt said: Hana shida Click to expand... Sikushauri. Nami mwanzoni nilikuwa napenda lkn baada ya kuja kujua maagizo ya Mungu nashukuru Mungu sikuchora. Tatoo hutumika kama mlango wa ibilisi kujiattach na maisha yako. Tena kama kuna picha inakuja mawazoni then fanya kila bidii kuirebuke.