Mambo 5 yanayoweza kudhuru Ubongo wako.

Mambo 5 yanayoweza kudhuru Ubongo wako.

mbona wengine nasikiaga wanashauri protein zaidi kwa asubuhi??


Nami nijuavyo braekfast should be made the richest meal of the day maana metabolism inakuwa nzuri na tumbo linakuwa wazi muda huu baada ya kutopokea chakula kwa masaa kadhaa.
 
Back
Top Bottom