Habari za wakati huu wapendwa natumai wote ni wazma wa afya na karibuni kujifunza juu ya mambo yanayoweza kumfanya kijana aweze kutambua uwezo/kipaji na ndoto yake na kufikia malengo yake.
Kijana ni nani?
Kijana ni mtu wa kike au kiume mwenye umri kati ya miaka15-45 kulingana na biblia.
Tanzania kijana ni mtu yeyote mwenye umri kati ya miaka18-35.hii ni kulingana ka katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kuna baadhi yamambo mengi ambayokama kijana anatakiwa ayafahamu ili aweze kufikia malen yake ikiwa pamoja na kufikia ndoto zak,kutambua uwezo wake pamoja na kujua kipaji chake.
Mambo hayo ni;
NIDHAMU
Moja ya jambo kubwa ambalo kijana anatakiwa awe nalo ili aweze kufikia ndoto zake kujua kipaji chake na hata kutambua uwezo wake ni nidhamu.nidhamu ni jumla ya vipi unaishi kuzunguka jamii yaki (heshima) kijana akiwa na heshima itakua rahisi kwake kufika malengo yake kwa sababu ya kuishi vizuri na watu na watu hao itakua rahisi kukwambia mapungufu yako kuelekea ndoto zako. mfano ndoto yako unataka kua kiongozi lazma uwe na nidhamu kwa kila jambo ulifanyalo kuzunguka jamii yako ambayo baadae ndio utatakiwa uiongoze.
KUJITUMA
Jambo hili baadhi ya vijana hulichukulia kirahisi lakini moja pia ya jambo ambalo kijana anapaswa kulizingatia ili kufikia ndoto,malengo nakujua uwezo wake ni kujituma hii ina maaana kama kijana anatakiwa ajitume kwa jambo lile analolifanya linaloweza kumfanya afikie ndoto alizojiwekea ikiwa wewe kijana ni mwanafunzi basi lazima ujitume kwenye kusoma ili ufikie malengo uliojiwekea na pia ikiwa wewe ni kijana na malengo yako kuja kua mchezaji wa mpira basi lazima mda wako mwingi uutumie kujituma kwenye kufanya mazoezi na kufuata yale unayoelekezwa.
KUJIFUNZA
Ikiwa wewe ni kijana basi moja ya jambo pia la kuzingatia ni kujifunza hili linamtaka kijana kuhakikisha muda wake mwingi anautumia kwenye kujifunza juu ya vitu au mambo ambayo yanaweza kumfanya aweze kufikia ndoto zake au malengo yake. Kama kijana unatakiwa kuachana na mambo yote yanayoweza kukufanya ushindwe kufikia malengo yako na kutumia mumwingi kujifunza juu ya yale yanayoweza kukufanya ufikie ndoto,malengo na kutambua uwezo wako.
UJASIRI
Hali ya kutoogopa jambo.kama kijana unatakiwa kuwa jasiri juu ya jambo ambalo umejiwekea maana kuweza kufikia ndoto na malengo uliojiwekea lazma kuna vitu vitakuja na kukukatisha tamaa kama kijana unatakiwa kua jasiri kuvishinda vikwazo hivo na mwisho kuweza kufikia malengo na ndoto zako ulizojiwekea.
MAAMUZI
Wakati sahihi wa kuamua jambo na kulifanya kwa weledi ni huu wakati wa ujana. Kama kijana unatakiwa uwe na maamuzi sahihi juu ya lile jambo ambalo unatamani kulifikia na kutimiza malengo yako. Vijana wengi wamekua wakishindwa kufikia malengo na hata kutokutambua vipaji vyao kwasababu wameshindwa kua na maamuzi wao kama wao baadhi ya vijana wamekua wakiamuliwa wafanye nini kwa wakati gani mfano wewe kama kijana ndoto zako ni kuja kua mwalimu kwa sababu umeona unaweza na ndio malengo yako lakini anakuja mzazi anakwambia natamani uje kua Daktari na wewe kama kijana unafanya hivo kumfurahisha mzazi na mwisho hufikii malengo yako uliojiwekea kama kijana lazma uwe na maamuzi sahihi.
Ahsante wewe uliyetenga muda wako kujifunza kupitia andiko hili. Natumaini kama kijana utakua umejifunza juu ya mambo muhimu unayoweza kuyafanya kuweza kutambua kipaji na uwezo wako na mwisho kufikia malengo yako.
Vote for me please

Upvote
2