Mambo 6 ambayo mwanaume hapaswi kuvumilia kamwe kutoka kwa mwanamke

Hiyo namba 5 ya support kama kweli tukiamua kuifuata kama unavyotaka, naamini katika ndoa au mahusiano mia moja zitakazopona ni ndoa mbili au tatu tu.

Mindset za wanawake zimeegemea zaidi kwenye kupewa, hata kama wakiwa na vyao but wao wanaamini zaidi kwenye kupewa, sasa umtoe mtu kwenye mindset ya kupewa umlete kwenye kukusaidia, hiyo ni kazi haswa.
 
Mke wangu lazima afanye ninavyotaka. Na kila atakachokifanya lazima behind the curtain nipo nyuma yake

Kinyume na hapo ni kufukuza bila kusita bila kusubiri
Huenda hata principles za kumwekea mwanamke wengine hatuzijui em jaribu kufunguka kama mwanamume mke wangu anatakiwa afanye nini? Maana isije ikawa namkomoa ilihali naye ni binadamu anastahili kupendwa
 
Sheria ya kwanza,
Ili umpende mtu lazima ujipende wewe kwanza.
Huwezi mpenda mkeo kama haujipendi.

Huwezi mpenda mkeo kuliko unavyojipenda huko ni kujiumiza na kujitesa. Huo sio upendo.

Ili umheshimu mtu lazima uanze kujiheshimu wewe kwanza.
Kama unamheshimu mwingine kuliko unavyojiheshimu huko ni kumuogopa. Ni utumwa.

Familia yako ndio yakwanza kabla ya watu wengine. Hiko ndicho wanawake wengine wanakitaka kwa wanaume.

Na huwezi kutanguliza familia yako kama wewe hujitangulizi kwanza unatanguliza watu wengine.

Ukiweza kujitanguliza, kujipenda, na kujilinda utaweza kuitanguliza, kuipenda na kuilinda familia yako.

Mtu anayetanguliza watu wengine kuliko yeye. Basi hata familia yake hataitanguliza atatanguliza watu wengine kuliko familia yake.
Ndio yale mtu akipata mchepuko nje anaijali kuliko anavyomjali mkewe.
Alafu kisingizio mkewe hamheshimu.
Sasa kama hakuheshimu si umfukuze?
 
Mkuu mara nyingi unapotoa nyuzi zako wengine tunaeleza uhalisia 100% inashangaza watu wanapoleta mizaha

Hatuwezi kufanana mkuu. Hii ni dunia.

Unapokuwa sehemu yoyote angalia kile ambacho unakitaka, ukiende kwenye bufee la chakula kwenye sherehe chukua chakula unachohitaji kula. Usiangalie vyakula vingine na kulaumu mbona wameweka vyakula ambavyo wewe hautumii. Chukua unachokitumia.
Hiyo ni kanuni ya dunia
 
Sheria ya kwanza,
Ili umpende mtu lazima ujipende wewe kwanza.
Huwezi mpenda mkeo kama haujipendi.

Huwezi mpenda mkeo kuliko unavyojipenda huko ni kujiumiza na kujitesa. Huo sio upendo.

Ili umheshimu mtu lazima uanze kujiheshimu wewe kwanza.
Kama unamheshimu mwingine kuliko unavyojiheshimu huko ni kumuogopa. Ni utumwa.

Familia yako ndio yakwanza kabla ya watu wengine. Hiko ndicho wanawake wengine wanakitaka kwa wanaume.

Na huwezi kutanguliza familia yako kama wewe hujitangulizi kwanza unatanguliza watu wengine.

Ukiweza kujitanguliza, kujipenda, na kujilinda utaweza kuitanguliza, kuipenda na kuilinda familia yako.

Mtu anayetanguliza watu wengine kuliko yeye. Basi hata familia yake hataitanguliza atatanguliza watu wengine kuliko familia yake.
Ndio yale mtu akipata mchepuko nje anaijali kuliko anavyomjali mkewe.
Alafu kisingizio mkewe hamheshimu.
Sasa kama hakuheshimu si umfukuze?
Asante mtibeli naomba pia unisetie principles ili nimuongoze huyu kiumbe ziweke kwa DO's na Donts
 
Back
Top Bottom