Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Sio kweli, kanuni ipo.. mtu ni lazima utakutana nae kwemye mazingira.
Hii niliwahi kumsikia mtu liveDuh, kuna mwanamke kamwambia mumewe kwamba yeye hawezi kuachana na mabwana wake wa zamani. Kama hakubaliani na hilo aamue cha kufanya
akili + maarifa kichwani mkuuMazingira ya zama hizi ni mixed.
Kuna mambo mengi yanawaunganisha watu wenye tofauti.
Kuna mitandao, Kuna makanisa, Kuna matamasha,
Kanuni hiyo ni kweli lakini sio kwa asilimia 100. Siku hizi ni 50*50
Thread 'Mwanaume asiye na Pesa hukosa mvuto ndani ya Jamii' Mwanaume asiye na Pesa hukosa mvuto ndani ya Jamii
Kwenye huu uzi sijakuona ukitoa maoni yako huyu Mwanamke unampa ushauri gani ili abadirike kifikra ?
Aaah kweli niliona mkuuNimetoa mbona.
Nimesema pia wanawake wakikosa pesa siku hizi hawana mvuto na mara nyingi huonwa kama wachawi hivi
Huenda yupo sahihi mara zote hunichallenge mfano nikitaka kumtumia mtu hela huwa ananistop
Huenda hata principles za kumwekea mwanamke wengine hatuzijui em jaribu kufunguka kama mwanamume mke wangu anatakiwa afanye nini? Maana isije ikawa namkomoa ilihali naye ni binadamu anastahili kupendwaMke wangu lazima afanye ninavyotaka. Na kila atakachokifanya lazima behind the curtain nipo nyuma yake
Kinyume na hapo ni kufukuza bila kusita bila kusubiri
Au sio😂😂 unajipigia mapandeKwa nini uwe kitombi wakati unaweza kuoa wanawake wengi?
Pili, Watibeli sio vitombi hawanaga michepuko isipokuwa wanaweza kununua makahaba katika mazingira maalum
Aaah kweli niliona mkuu
Ni kweli mimi ni nice guy kabisa kaka hilo sikupingi ila nataka nionje hata robo ya utibeliAnakustop labda anakuona unahuruma na kujali wengine kuliko familia yako.
Mwanamke akishajua wewe ni bahili pro max na unapenda familia yako mambo ya kifedha hakutilii shaka
Au sio😂😂 unajipigia mapande
Sawa mkuuSasa mapande gani😄😄
Mimi nazungumzia ukweli hapa. Kusema mwanaume asitoke labda roho za miungu ziishi ndani yake sana
Ni kweli mimi ni nice guy kabisa kaka hilo sikupingi ila nataka nionje hata robo ya utibeli
Huenda hata principles za kumwekea mwanamke wengine hatuzijui em jaribu kufunguka kama mwanamume mke wangu anatakiwa afanye nini? Maana isije ikawa namkomoa ilihali naye ni binadamu anastahili kupendwa
Mkuu mara nyingi unapotoa nyuzi zako wengine tunaeleza uhalisia 100% inashangaza watu wanapoleta mizaha
Mi sijaoa ila...!
Asante mtibeli naomba pia unisetie principles ili nimuongoze huyu kiumbe ziweke kwa DO's na DontsSheria ya kwanza,
Ili umpende mtu lazima ujipende wewe kwanza.
Huwezi mpenda mkeo kama haujipendi.
Huwezi mpenda mkeo kuliko unavyojipenda huko ni kujiumiza na kujitesa. Huo sio upendo.
Ili umheshimu mtu lazima uanze kujiheshimu wewe kwanza.
Kama unamheshimu mwingine kuliko unavyojiheshimu huko ni kumuogopa. Ni utumwa.
Familia yako ndio yakwanza kabla ya watu wengine. Hiko ndicho wanawake wengine wanakitaka kwa wanaume.
Na huwezi kutanguliza familia yako kama wewe hujitangulizi kwanza unatanguliza watu wengine.
Ukiweza kujitanguliza, kujipenda, na kujilinda utaweza kuitanguliza, kuipenda na kuilinda familia yako.
Mtu anayetanguliza watu wengine kuliko yeye. Basi hata familia yake hataitanguliza atatanguliza watu wengine kuliko familia yake.
Ndio yale mtu akipata mchepuko nje anaijali kuliko anavyomjali mkewe.
Alafu kisingizio mkewe hamheshimu.
Sasa kama hakuheshimu si umfukuze?