Mambo 6 ambayo mwanaume hapaswi kuvumilia kamwe kutoka kwa mwanamke

Tatizo ni kwamba wakati nawachagua wanakuwa hawaoneshi tabia zao, yaani wanaigiza.

Wakifika ndoani wanafichua makucha yao na hapo ndipo Mimi huwafukuziliabali mbali bila ajizi.
"Bila ajizi" kiswahili murua kabisa
 
Mwanamke mwenye marafiki wengi wa kiume ........
 
Who are you to speak about us men ?

I see you regularly speaking about us even offline.

Don't you have work to do

Real men are working out here

You are jack of all trades which thing don't you know ?
 
Sawa mkuu,yote hayo ni magumu Kwa Sasa amejitahidi sana analo Moja tuu!
 
OMG!
Unataka uniweka kwenye mfumo wako sasa.
Unaambiwa dawa ya mamba umtoe majini. Ardhini hana lolote.
Au akiwa majini mtoe Meno. Awe mamba kibogoyo. Hatari sana
Hata huku Jukwaani hutaonekana ujue 😜
Ntakuficha huku Tanga.

Unaoga maji ya Iriki
Chai ya kunukia vizuri
Uji wa Shanga/Nazi
N.K

Ukitoka hapo ukali wote umeisha😜
 
Wageni wowote siyo hatari kwetu kama waarabu na waislamu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…