min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Msome vizuri , kapinga hoja zako kwa nilivyoelewaTatizo ni kuwa vijana wa siku hizi wamedukuliwa

Point ya 5 Ni Pointless.MAMBO 6 AMBAYO MWANAUME HAPASWI KUVUMILIA KAMWE KUTOKA KWA MWANAMKE.
Anaandika, Robert Heriel Tz
Mtibeli
Vijana lazima mjue uanaume ni uongozi. Na ili uwe kiongozi lazima uweze kujiongoza, kujiheshimu, kuwa na sheria na kanuni zako ambazo zitalinda heshima yako.
Uvumilivu ni moja ya sifa ya mwanaume kiongozi. Lakini sio kila jambo unapaswa kulivumilia. Hasa jambo linaloathiri heshima yako kama Mwanaume na Baba wa Familia.
Bila kuwapotezea muda wenu. Haya ni mambo sita ambayo mwanaume hupaswi kuyavumilia hata kidogo kutoka kwa Mwanamke uliyenaye kwenye mahusiano, na lazima uhakikishe anajua hilo tangu mwanzo;
1. Tabia za Kimalaya na Usaliti.
Sisi Watibeli tunaoa wanawake Bikra. Ndoa ya kwanza kwa kijana wa Tibeli lazima aoe mwanamke bikira. Hili nilishaeleza.
Mwanaume haupaswi kuvumilia vitabia vya kimalaya malaya.
Mwanamke anayewaza wanaume wengine.
Anayetamani pesa za wanaume wengine. Huyo usimvumilie hata kidogo. Fukuza.
Mwanamke anayekufananisha na kukulinganisha na wanaume wengine. Hizo ni tabia za kimalaya malaya.
Mwanamke anayekuwa upande wa adui zako. Anayekusema kwa mabaya kwa watu. Huyo ni msaliti. Sisi Watibeli tunafukuza mapema tuu.
Iwe anakusema kwa ndugu zake, rafiki au jamaa zake. Huyo havumiliki.
2. Kukukosea Heshima na dharau.
Mwanamke anayekunyali. Anayekusimanga, anayekukejeli. Asiyekuogopa na kukuheshimu.
Mwanamke yeyote mwenye ujasiri wa kukujibu nyokonyoko. Huyo usimuite mkeo. Hastahili kuwa mkeo. Usimvumilie. Na lazima ajue hivyo.
Mkeo lazima akuheshimu ikiwezekana akuogope.
Mwanamke mwenye vimaneno vya dharau. Huyo usimchekee. Muonjeshe Dawa.
Mpeleke kwao akae walau mwezi mmoja. Mwambie awaambie wazazi wake wamfundishe jinsi ya kuongea kwa heshima na kama hawezi akamjibishe hivyo Mama na Babaake.
3. Mwanamke Muongo muongo
Sisi Watibeli hatuvumilii uongo. Na hatunagq uongo mdogo.
Anayeficha ficha mambo. Anayedanganya mambo.
Anayeficha kipato chake. Anayecheza michezo sijui vikoba sijui vikundi mshenzi huko.
Anayeondoka nyumbani bila ruhusa, na akiomba ruhusa anadanganya. Huyo sisi Watibeli tunafukuza na hakuna wa kutushauri. Kimsingi sisi Watibeli ni watu bora lakini tunakasoro ya kutoshaurika hasa tukiwa tunashughulikia wahuni.
Usimchekee mwanamke muongo. Utakuja kubambikiwa mpaka watoto kijinga. Mbuzi wewe.
4. Mwanamke Mshirikina na Mchawi.
Watibeli hatuoi wala hatuwezi kuishi nyumba moja na watu wanaoamini na kufanya ushirikina na uchawi.
Mwanamke anayewaza upuuzi. Anayeongeaongea mambo ya kishirikina na uchawi.
Huyo fukuza bila kikao. Usimkawize. Atakufanya uanze kuamini mambo ya hovyohovyo.
Mwanamke anayejiamualia kwenda kwa makanisa na masheikhe hovyohovyo bila ruhusa yako. Usimvumilie.
Kuhani na mchungaji na sheikhe namba moja wa mkeo ni wewe. Hataki fukuza akafie mbele.
Hivyo ndivyo Watibeli walivyo.
5. Mwanamke asiyekupa Support, asiyekusaidia Kimawazo na kifedha.
Kwanza wanakuwaga walalamishi.
Wanakuwaga wanamatumizi mabovu kwa sababu hayajui pesa inapatikana vipi.
Yanawazaga ujinga ujinga na matumizi ya kipuuzi. Sisi Watibeli hatunaga uvumilivu.
Mkeo lazima akushauri vitu vya kueleweka. Akutulize na kukupa faraja.
Aridhike na hali yenu hata kama msipofanikiwa huyo ndiye mkeo.
Sio mkeo kila siku anakuweka kwenye presha na kutamani maisha ya juu. Huyo mpe yellow card. Asipojirekebisha piga kadi nyekundu.
6. Mwanamke anayetaka kukutawala na kukudhibiti.
Mwanamke sio mwalimu wako. Wewe nduye unatakiwa uwe mwalimu wake. Sio kila kitu anataka kukufundisha.
Sijui anakufundisha jinsi ya kumpenda na kumfanyia Wema. Nope! Sisi wanaume wa Watibeli tunajua nini chakufanya. Hatufundishwi. Akikuona mjuaji upo njia sahihi
Lazima ufanikiwe.
Ukikubali mkeo awe mwalimu wako umekwisha. Huwezi fanikiwa kwenye jambo lolote.
Oooh! Unatakiwa unipende na kunijali hivi. Unipe pesa hivi. Mpe kauli moja, sifundishwi chakufanya. Kama huwezi pita kushoto.
Sijui anakudhibiti usiende wapi, anataka kukuamulia mambo. Usikubali.
Sijui anatumia ndoa kukudhibiti. Mwambie ndoa kwako sio muhimu kuliko mamlaka na heshima yako.
Sijui anatumia watoto kukudhibiti. Mwambie watoto kwako sio muhimu kuliko mamlaka na heshima yako.
Hivyo ndivyo Watibeli tulivyo.
Nimemaliza
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Sawa Taikon Master 😅MAMBO 6 AMBAYO MWANAUME HAPASWI KUVUMILIA KAMWE KUTOKA KWA MWANAMKE.

Sawa Taikon Master 😅
Nimependa hapo kwenye kunyali
Point ya 5 Ni Pointless.
Ila kama unataka kusaidiwa muache shemeji awe mbuge mkuu
Naanzia wapi jamaniNinyali basi ili nikuwashie moto
Kunyali ni kufanya nini? Ni neno sahihi la kiswahili?Ninyali basi ili nikuwashie moto
Huo ni mtazano wako(kunyanyasa) sisi hawana hayo na hatuwanyanyasiHiyo ndio dhima kuu ya mwanamke ndani ya ndoa.
Unataka asikusaidie ili umnyanyase?
Kunyali ni kufanya nini? Ni neno sahihi la kiswahili?
Huo ni mtazano wako(kunyanyasa) sisi hawana hayo na hatuwanyanyasi
Naanzia wapi jamani
Halafu mbona hiyo sio tabia yangu Mtibeli 😅
Wakuchokoze wengine JamaniMara mojamoja unanichokoza unione nikikasirika. Wewe kila siku unataka kuniona nafuraha?
Wakuchokoze wengine Jamani
Ila sio mimi.
Uchokozi siuwezi kabisa.
Ila uchokozi kwenye sekta nyingine adhimu naweza 😜
Hapa mtaani wananiita Mr fukuza fukuza kwani nimeshawafukuza wake zangu watano niliofungua nao ndoa kabisa.
Tatizo ni kwamba wakati nawachagua wanakuwa hawaoneshi tabia zao, yaani wanaigiza.Wewe Kiboko.
Watano wengi sana. Hapo rekebisha wakati unachagua
Kama hujajua waliozeeka ndo wanafaa kuchokozwa Sasa 😅.Aubudhilah! Sasa utamchokoza mtu ameshazeeka zake?
Tatizo ni kwamba wakati nawachagua wanakuwa hawaoneshi tabia zao, yaani wanaigiza.
Wakifika ndoani wanafichua makucha yao na hapo ndipo Mimi huwafukuziliabali mbali bila ajizi.
Kama hujajua waliozeeka ndo wanafaa kuchokozwa Sasa 😅.
Ili kuwaongezea umri mrefu zaidi Duniani 😅😅😅
Unatolewa sehemu Moja na kupelekwa sehemu nyingine.
Utasahau umri wako.