Mambo 6 ambayo mwanaume hapaswi kuvumilia kamwe kutoka kwa mwanamke

Ngoja aje akupatie na charasterics za watibeli
 
Jiongelee wewe mwenyewe mkuu. Hujui mahusiano ya watu wanayopitia.

Nazungumzia Watibeli Mkuu. Watu wenye hulka, tabia, Imani na mtazamo kama wangu.

Sizungumzii wanaume wa Aina nyingine ambao wewe ndio unawasema na ndio waliojaa kila pembe ya dunia.
 
Nazungumzia Watibeli Mkuu. Watu wenye hulka, tabia, Imani na mtazamo kama wangu.

Sizungumzii wanaume wa Aina nyingine ambao wewe ndio unawasema na ndio waliojaa kila pembe ya dunia.
Bango lako limesema wanaume. Badilisha, nyumba zina siri nzito
 
Aisee huyu Ndio mwanaume sasa! Mwanamke anaepata mwanaume anaetambua uanamme wake mwenye akili na mwenye msimamo Wallah amepata mwanaume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…