Mambo 6 ambayo watu imara na wenye akili hufanya

Mambo 6 ambayo watu imara na wenye akili hufanya

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
1. Husonga Mbele. Huwa hawapotezi muda kujisikitikia na kujipetipeti.

2. Huyapokea Mabadiliko.Huyakaribisha mabadiliko kwa mikono miwili

3. Huwa Wenye Furaha. Hawapotezi nishati zao kwenye mambo wasiyoweza kuyadhibiti au kuyatawala(yaliyo nje ya uwezo wao).

4. Ni Watu Wema, wapenda haki na hawaogopi kuongea.

5.Wako tayari kuchukua hatari zilizopimwa. Hatari zilizoko ndani ya uwezo wao.

6. Hufurahia na kushangilia mafanikio ya watu wengine. Hawachukizwi na mafanikio ya wengine.
 
Ongezea hizi,japo umeshazitaja ila nimezifafanua zaidi.


Huchukulia kwa uzito maoni na ushauri wanaopewa na kuyapima kwanza kisha kuyafanyia kazi,

Huheshimu kila mtu,mwenye nacho na asiye nacho,mwenye cheo fulani na asiye na cheo fulani,ni watu wanaoishi Free life.
 
lakini tukiwa hatuna pesa mtu waaribu anapigwa nje ndani kwaungo mtakatifu
 
Back
Top Bottom