Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

Hivi tukio la ndege ya Malaysia tunaliachaje hapa?
 
Mimi sina kipaji cha uandishi ninakipaji cha kuongea tu tena bila kipaza sauti ila Kuna kitu kinaitwa TIME TRAVEL/TIME TRAVEL MACHINE inaweza ikakurudisha nyuma hata miaka mia moja ukaona uliishi vipi na ulikuwa nani.
THE DEAD NOT STAY DEAD.
Kuna mlango kati ya wakati wa nyuma na wakati uliopo. Kuna watu wachache ambao kiasili huwa wana nguvu ya ku note matukio au sehemu au mtu na kuhisi kama walishaonana kabla au anaona tukio kama linajirudia kwa muundo uleule mpaka muda unakuwa no uleule lakini akijiuliza ilikuwa ni lini aliliona aliliona tukio lile kwa mara ya kwanza anakuwa hana majibu.
kweli mkuu mimi nipo hivyo. Zamani nilikua naweza kupita sehem ambayo cjawahi kufika ila cha ajabu nakuta mazingira ambayo kumbukumbu zinaniambia hio sehem nishapita au kuishi ila nakosa majibu ni lini au wapi
 
Pattern ya kufanya mambo kati ya hao jamaa wawili inafanana, in other words, napolean alizaliwa miaka 129 kabla hitler hajazaliwa, and aliingia madarakani miaka 129 kabla hitler hajaingia madarakani, Napoleon aliivamia Urusi Miaka 129 kabla ya Hitler kuivamia pia Urusi. Wote hawa jamaa wawili walikuwa na vision ya Kuitawala Dunia.
Hii hata unieleweshe vipi nimeshindwa kuielewa najiuliza huyo napolean aliishi miaka 129 baadae baadae akatawala miaka 129 kabla htler hajaingia madarakan kwa hiyo aliishi dunian zaid ya miaka 250
 
Nadhani amefanya mlinganyo wa matukio waliyotenda. Kwamba kutoka tukio moja la Napoleon hadi tukio la aina hiyohiyo lililofanywa na Adolf Hitler kulikuwa na tofauti ya miaka 129.

Kwa lugha rahisi ni kwamba, iwapo Napoleon alizaliwa mwaka 1900, basi Hitler alizaliwa mwaka 2029. Napoleon alianza kutawala akiwa na miak 5 yani 1905, Hitler alianza kutawala pia akiwa na miaka mitano yaani 2034. Yani kwa kila tukio la Napoleon, ongeza miaka 129 baadaye ndipo Hitler alifanya

Umeelewa?
 
Duniani kuna mambo asee ni kama hii ya Wengi tumeskia kuhusu habari za ndege zilizopotea lakini hatujui mpaka sasa ndege hizo zimeenda wap. Je unafahamu kuhusu ndege iliyopotea na kuja kutokea miaka 37 baadae.

Wengi tumesikia kuhusu habari za ndege hio, na mitandao mbali mbali imekua ikisambaza taarifa kuhusu ndege hio. Mimi na wewe hatujui nini kilitokea na hatujui kama habari hio ni ya kweli au la. Basi tutachambua taratibu kuhusu hii habari tuutathmini ukweli kuhusu tarifa hii.

Taarifa kuhusu ndege hio inasemakana zimetolewa na shahidi ambae alikua ni muongoza ndege kwenye kiwanja cha ndege huko Caracas Venezuela aitwae Juan de la Corte.

Kilichotokea

Shahidi huyo anasema ni jambo la kushangaza sana kwa taswira alioshuhudia. Anasema ndege hio iliotua ilikua imechoka na ya kizamani sana kiasi kwamba ilishindwa kuonekana katika mitambo yao ya rada. Aliamua kuchukua hatua ya kuwasiliana na rubani kupata maelezo ya kuhusu ndege hio. Rubani akajibu ndege hio ni ya kukodi (charter plane) flight 914 yenye wafanyakazi wanne (4) na abiria hamsini na saba (57), na ilitakiwa kuwasili Miami kutokea New York. Taarifa hiyo ikawafanya wafanyakazi kwenye mnara wa uongozi (control tower) kupigwa na butwaa.

Juan akamuuliza yule rubani, Umepotea? Maana kule alipokua akieleka na hapo alipo ni kilomita 1800, na kumwambia kuwa pale alipo ni Caracas Venezuela, Amerika ya Kusini. Ndipo cha kustaajabu zaidi kikatokea wafanyakazi wa kwenye mnara wa uongozi wakasikia marubani wa ndege hio wakiwa wakishangaa mazingira ya sehemu hio. Rubani yule akauliza Tupo wapi? Nini hiki kimetokea? wakasema “Ndege hii inatakiwa kutua Miami saa tatu na dakika 55 ya tarehe 2 Julai 1955” wakaambiwa hapa ni Caracas Venezuela tarehe 21 May 1992.

Wakati marubani wakiwa wanashindwa kuelewa nini kinaendela Juan akawatuliza na kuwaambia kuwa wafanyakazi wa ardhi (ground staff) wanakuja kuwapa taratibu, huduma na muongozo mwingine. Kufanya uchunguzi wakagunudua kuwa ni ndege ile ile ya mwaka 1955 cha kushangaza zaidi hawajakua hata kidogo.

Wakati wafanyakazi wa chini walipokaribia ndege hio, rubani akawaambia wafanyakazi hao warudi nyuma na wasiwasogelee na kuwaambia Tunaondoka Tena. Wafanyakazi hao wakaona sura za abiria zenye mshangao wakichungulia dirishani na rubani kutupa kalenda ya mwaka 1995. Na kuondoa ndege, hawakuonekana tena baada ya hapo
 
walikula kona walienda wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nawaza walikotoa mafuta
 
Duuh mambo kama haya yapo.

Nimewahi pata ajali eneo lile lile mara mbili.
 
Una akili sana mkuu,hata hivyo kwa ID yako sishangai...sisi Masai tuko vizuri upstairs bwana [emoji4]

Uko sahihi,mimi ni shabiki wa kutupwa wa Arsenal na Real Madrid,hivyo ningeachaje kujua yanayomhusu Ozil?

Halafu ni coincidence kubwa nyingine nampenda Ozil na kazaliwa tarehe moja na kiumbe mmoja wa muhimu sana maishani mwangu.
Huwa nashangaa sana.
Anagalia huyo kiumbe asije nayeye akatengeza ndege
 
Hii hata unieleweshe vipi nimeshindwa kuielewa najiuliza huyo napolean aliishi miaka 129 baadae baadae akatawala miaka 129 kabla htler hajaingia madarakan kwa hiyo aliishi dunian zaid ya miaka 250
Dduh. Hutaki kuelewa [emoji23]
 
Back
Top Bottom