Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

Wazungu wana maisha ya kuweka rekodi,tofauti na sisi,inawezekana hapo ulipo hata hujui muda na saa uliozaliwa,inaweza kuja kugongana exactly na muda atakaozaliwa labda mwanao au mjukuu wako,na matukio mengineyo
Hii kitu imenikumbusha kitu, tumefanana muda,tarehe na mwezi wa kuzaliwa mwanangu na mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada umesababisha niingie kusoma e.library may be ntaongeza kitu kuhusu maisha.

Sent using Iphone 7+
 
c92c8a6234854a261280866b5bbaff04.jpg


Jamaa mmoja alipotea baharini takribani siku 33, alijitahidi kuogelea na alifanikiwa kufika ufuo wa visiwa vya Marshall Islands.

Cha kushangaza, visiwani humo alikutana mjombake ambaye inasadikika alipotea baharini takriban miaka 50 iliyopita.
 
Hiyo namba 9 ingetokea Tanzania, familia ingeenda kwa Mganga kuondoa mkosi...
 
Back
Top Bottom