Mambo 7 usiyoyajua kuhusu Viwanja vya Ndege vya Jeshi la Marekani vinavyoelea baharini " US Aircraft Carriers"

Kama unayajua piga kimya.

Kama huyajui haya hapa:-

Mambo 7 muhimu kuhusu Aircraft Carrier ya Marekani:
  1. Idadi ya Waajiriwa – Kila aircraft carrier ya Marekani ina wastani wa 5,000 – 6,000 waajiriwa, wakiwemo marubani, wahandisi, wahudumu wa meli, wataalamu wa silaha na wahudumu wa matibabu.
  2. Ukubwa na UzitoUSS Gerald R. Ford, carrier mpya zaidi, ina urefu wa takribani 337m (1,106 feet) na uzito wa zaidi ya 100,000 tons ikiwa imejaa.
  3. Supermarket na Huduma za KijamiiAircraft carriers zina maduka ya chakula na mahitaji ya msingi yaani supermarket, migahawa, hospitali ndogo, sehemu za burudani na hata barbershops kwa wahudumu wake.
  4. Nishati ya Nyuklia – Meli hizi hutumia reactors za nyuklia ambazo huziwezesha kusafiri kwa miaka 20 bila kuhitaji kuongeza mafuta.
  5. Idadi ya Ndege – Kila aircraft carrier hubeba wastani wa ndege 70 – 90 za kivita, zikiwemo F/A-18 Super Hornet, F-35 Lightning II na helikopta za kijeshi.
  6. Gharama ya Ujenzi – Carrier mpya kama USS Gerald R. Ford imegharimu takribani $13 bilioni, na hii haijumuishi gharama za uendeshaji na matengenezo.
  7. Kasi na Muda wa Baharini – Carrier inaweza kufikia kasi ya zaidi ya 30 knots (56 km/h) na inaweza kukaa baharini kwa muda mrefu, mara nyingine kwa miezi 6 hadi mwaka mmoja bila kurudi bandarini.View attachment 3241224
Umejuaje hatuyajui hayo?
 
Hayo machuma chuma ya Mmarekani yameshachoka. Juzi kati USS Truman aircraft carrier imeenda kugonga meli ya mizigo huko Egypt
Carrier kugonga meli ya mizigo ndio kuchoka?

Unajua lolote kuhusu maritime activities?
 
Mbona ni gharama sana. Kama hilo lililopewa jina la Gerald Ford limegharimu $13 billioni. Nauliza Je ikitunguliwa mbona ni hasara kubwa sana?.
 
Unajua sababu ya hiyo carrier kugonga hiyo meli ya mizigo?
Carrier haijaigonga meli ya mizigo, zimegongana na ile sehemu ni nyembamba sana. Kwenye sheria za majini mwenye chombo kidogo anampisha mwenye kikubwa, carrier yenye kuzidi viwanja viwili vya mpira ianze kupisha sehemu nyembamba.
 
Nyambizi si ndo lile pipa linatembeaga kwenye maji chini wanasema linaendeshwa kwa nyuklia na linaweza kukaa huko chini hata miaka 10 lisije juu changamoto ni misosi tu kwa hiyo linakuja kubeba misosi hafu linazama kama nyangumi
Linapewaga mimba?
 
Ile ni manowari,yaani meli ya kivita.
Kama imebeba ndege vita,basi itakuwa manowari iliyobeba ndege vita.
 
Kama unayajua piga kimya.

Kama huyajui haya hapa:-

Mambo 7 muhimu kuhusu Aircraft Carrier ya Marekani:
  1. Idadi ya Waajiriwa – Kila aircraft carrier ya Marekani ina wastani wa 5,000 – 6,000 waajiriwa, wakiwemo marubani, wahandisi, wahudumu wa meli, wataalamu wa silaha na wahudumu wa matibabu.
  2. Ukubwa na UzitoUSS Gerald R. Ford, carrier mpya zaidi, ina urefu wa takribani 337m (1,106 feet) na uzito wa zaidi ya 100,000 tons ikiwa imejaa.
  3. Supermarket na Huduma za KijamiiAircraft carriers zina maduka ya chakula na mahitaji ya msingi yaani supermarket, migahawa, hospitali ndogo, sehemu za burudani na hata barbershops kwa wahudumu wake.
  4. Nishati ya Nyuklia – Meli hizi hutumia reactors za nyuklia ambazo huziwezesha kusafiri kwa miaka 20 bila kuhitaji kuongeza mafuta.
  5. Idadi ya Ndege – Kila aircraft carrier hubeba wastani wa ndege 70 – 90 za kivita, zikiwemo F/A-18 Super Hornet, F-35 Lightning II na helikopta za kijeshi.
  6. Gharama ya Ujenzi – Carrier mpya kama USS Gerald R. Ford imegharimu takribani $13 bilioni, na hii haijumuishi gharama za uendeshaji na matengenezo.
  7. Kasi na Muda wa Baharini – Carrier inaweza kufikia kasi ya zaidi ya 30 knots (56 km/h) na inaweza kukaa baharini kwa muda mrefu, mara nyingine kwa miezi 6 hadi mwaka mmoja bila kurudi bandarini.View attachment 3241224
Noma sana
 
Mbwe mbwe zote hizo lakini inazamishwa na kombora moja tu la gharama ndogo toka Russia
 
Hayo machuma chuma ya Mmarekani yameshachoka. Juzi kati USS Truman aircraft carrier imeenda kugonga meli ya mizigo huko Egypt
Linaitwaje hilo chuma lililogonga huko Egypt
 
Back
Top Bottom