Mambo 7 usiyoyajua kuhusu Viwanja vya Ndege vya Jeshi la Marekani vinavyoelea baharini " US Aircraft Carriers"

Umejuaje hatuyajui hayo?
 
Hayo machuma chuma ya Mmarekani yameshachoka. Juzi kati USS Truman aircraft carrier imeenda kugonga meli ya mizigo huko Egypt
Carrier kugonga meli ya mizigo ndio kuchoka?

Unajua lolote kuhusu maritime activities?
 
Mbona ni gharama sana. Kama hilo lililopewa jina la Gerald Ford limegharimu $13 billioni. Nauliza Je ikitunguliwa mbona ni hasara kubwa sana?.
 
Unajua sababu ya hiyo carrier kugonga hiyo meli ya mizigo?
Carrier haijaigonga meli ya mizigo, zimegongana na ile sehemu ni nyembamba sana. Kwenye sheria za majini mwenye chombo kidogo anampisha mwenye kikubwa, carrier yenye kuzidi viwanja viwili vya mpira ianze kupisha sehemu nyembamba.
 
Nyambizi si ndo lile pipa linatembeaga kwenye maji chini wanasema linaendeshwa kwa nyuklia na linaweza kukaa huko chini hata miaka 10 lisije juu changamoto ni misosi tu kwa hiyo linakuja kubeba misosi hafu linazama kama nyangumi
Linapewaga mimba?
 
Ile ni manowari,yaani meli ya kivita.
Kama imebeba ndege vita,basi itakuwa manowari iliyobeba ndege vita.
 
Noma sana
 
Mbwe mbwe zote hizo lakini inazamishwa na kombora moja tu la gharama ndogo toka Russia
 
Hayo machuma chuma ya Mmarekani yameshachoka. Juzi kati USS Truman aircraft carrier imeenda kugonga meli ya mizigo huko Egypt
Linaitwaje hilo chuma lililogonga huko Egypt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…